Recent content by wesele

  1. W

    JamiiForums Tanzania Professor Issa Gulam Hussein Shivji, Nje bunge la katiba!! Watanzania tumelogwa au.......?

    Usanii mtupu maccm yanajiona yenyewe kwamba mchakto Hui no wao
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi kati ya waalimu na wanafunzi,nani alaumiwe?

    Wanafunzi watamu asikwambie MTU ..tena usizoee mana hutoacha mpaka ukamatwe
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu gani mkali ushawahi kukutana nae katika maisha yako ya shule...!!!??

    Umemsahau master kk pia marehmu kombaha wote makongo hao
  4. W

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha pili

    Serikali imeyaficha..ni aibu kubwa mwaka huu tuyaweke hazarani mtucheke
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

    Ha ha ha nakumbuka mbali st Pius makoko seminary rector fumakule aka pumbu ..full sala masifu plus poor diet
  6. W

    JamiiForums Tanzania Wananchi Pwani kuandamana kuipinga HLRC kwa kumshitaki PINDA na Werema!!

    ------- pwani..hawana kazi za kufanya ,waende wakauze nazi
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Jeshi kuwanoa vijana wa CHADEMA

    Bora watupe mafunzo mana hivi juzi nimepewa kichapo na police meno cna mawili
  8. W

    JamiiForums Tanzania ada za udsm postgraduate na masters zapaa juu maradufu!

    Huo ni mkakati wa kupunguza wasomi wa elimu ya juu.hii c elimu ya wote ni kwa wachache tena wenye uwezo wa kifedha na c kiakili.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Funguka Mbunge Wako Yukoje?

    Me mbunge wangu co mkubwa ni bwana m...pande za chalinze ,huyu jamaa kama ni mdudu bac nnzi yan hana maisha marefu ktk siasa,bungeni haonekan na jimbon ndo kabisaaa
  10. W

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Kikwete akutana na Ibrahim Lipumba IKULU - Dar-es Salaam

    Dkt unamjua kk? Jk co dkt labda awe doctor wa mapenzi na siasa chafu
  11. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo aionya serikali mauaji nchini, vinginevyo balaa kubwa siku zijazo

    Kk ama kweli una upeo mfupi sana,think wise na kuw shabiki wa timu lakn co dini mana mawazo unayoyatowa inaonekana huangalii idea bali uko kiushabiki zaidi..mungu akuongezee ufahamu.amen
  12. W

    JamiiForums Tanzania Dada zangu wa kichaga jisafisheni kimapenzi maana sehemu kubwa ya jamii inawaogopa kimapenzi

    Mura munasema ujinga mtupu piga mapanga wote humu
  13. W

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Me npo bagamoyo naitaj dar au kibaha mjini anayeitaj tuwasiliane
  14. W

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaetaka kuja chalinze pwani nani lakn sharti utoke dar
Back
Top Bottom