Recent content by Wenger

  1. W

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Mkuu nataka kununua bitcoin sijui kwa bongo hapa nitapata wapi cash ninayo na vipi nikitaka kuuza pia cash napataje?
  2. W

    Nahitaji nyumba maeneo ya Mwenge au Sinza

    Hapana anajehama ni jamaa yangu namjua aliyempangishia nyumba hapo
  3. W

    Nahitaji nyumba maeneo ya Mwenge au Sinza

    Kuna nyumba mtu anahama next week Sinza Karibu na Wanyama Hotel ina vyumba 3 vya kulala ila kodi mtaelewana na mwenye nyumba upo chini sana nakupa namba ya mwenye nyumba mtafute mwenyewe. 0755690784, 0788854045
  4. W

    Naomba niwaage

    Pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. W

    Gari Noah inauzwa

    Gari aina ya Noah inauzwa bei TZS 8m Gari ipo Bunju Dar namba ni DCP.Haina tatizo lolote mwuzaji anatumia gari nyingine. kwa mawasiliano 0713895302
  6. W

    Naomba kueleweshwa kuhusu riba ya CRDB ukiuza mkopo

    Ukiuza mkopo Kuna transfer fees ndio hiyo nadhani niliwahi kumbana na hayo mambo
  7. W

    Kwanini ni muhimu kwa kijana wa kisasa kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM)

    Uteuzi umeshakamilika huko Lumumba subiri 2020.
  8. W

    Makamba, Membe, Bashiru....

    Inapendwa kila kona ya nchi upo serious kweli wewe kada?
  9. W

    Nyumba inauzwa mbezi beach mil 120

    Je Imeshauzwa? Kama hapana Ina hati? Ikiwa jibu ni ndiyo January nitakucheki Kama itakuwa bahati yangu ikawa bado haijauzika
  10. W

    Je Kiki ya Fao la Wastaafu itawavusha Chadema ??

    Wewe naona umepata viroba asubuhi, Nani kakwambia wanatafuta kiki? Wanasaidia wafanyakazi mliovimbiwa mnasema ni kiki aibu yako.
  11. W

    Republicans na Democrats wangekuwa ' Maadui ' kama wengineo Kwingineko leo Marekani isingekuwa mbali hivi

    Mpelekee ujumbe mhusika Kama atakuelewa basi biashara ya binadamu itapigwa stop kuanzia sasa kuunga mkono juhudi
  12. W

    Anguko la watetezi laja

    Jingalao, Isis, Utaifakwanza na wengine msiojitambua uzi unawahusu huu
  13. W

    Tuliharibiwa: Madhara ya Ufisadi Yanaonekana katika Masalia ya Fikra Za Watu Wetu

    Lea wajukuu tu sasa kichwani huna lolote kwasasa
  14. W

    Tuliharibiwa: Madhara ya Ufisadi Yanaonekana katika Masalia ya Fikra Za Watu Wetu

    Mzee huna lolote siku hizi . Hii biashara ya binadamu inayofanywa na awamu hii ni ufisadi wa level ipi?. Wapi 1.5tilion zilipo ?
Back
Top Bottom