Recent content by Wendo click23

  1. Wendo click23

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Haha toeni idea tucopy na kupaste
  2. Wendo click23

    JamiiForums Tanzania Kwa Uber na Bolt unaweza kuingiza kiasi gani kwa siku?

    Wa Katutura eeh boss m naona ujichange tu uchukue zako hiace ata kwa mkopo utakua umefanya la maana ukiipa route uko mkoani mbna safi tu. Kuliko kukomaa. Na Uber. Maana tena wanamakato yao
  3. Wendo click23

    JamiiForums Tanzania Kwa Uber na Bolt unaweza kuingiza kiasi gani kwa siku?

    Kwa uzoefu wangu biashara ukiifanya wewe kama wewe yaani driver inalipa vizurii tu tena unaweza kulaza mpk 1k kutokana na mzunguko na unakaa wapi Maeneo gani I mean sio ukae mbagala au buza utegemee kupata iyo hela apo unafeli. First thing PLACE ndo itadetermine mpunga second thing PRODUCTS...
  4. Wendo click23

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu

    Shida ya watoto walioanza kupanda mabasi juzi sauli inambio gani na inafika mbeya saa 11 jioni kuna gari zlikua znatoboa mbeya saa tisa mfano Hekima royal class Asa sauli ana mbio gani na wewe
  5. Wendo click23

    JamiiForums Tanzania Wekeza sasa kwa Scandinavia Express ijayo | Biashara ya Mabus

    Kijana Idea nzuri sana achana na hao ma critics we Pambana mpk kieleweke siku moja itatimia Tz tunahitaji watu kama nyie weny uwezo wa kubadili fikra potofu kuwa ndoto kamili hata mbuyu ulianza kama mchicha kikubwa tu Mtangulize Mungu
  6. Wendo click23

    JamiiForums Tanzania SoC02 Makosa Saba (07) yanayopelekea Kupoteza Fedha zako

    Daaah jamaa umeongea fact sana ila Sasa kwenye kukopa hapo Ndo kipengele
  7. Wendo click23

    JamiiForums Tanzania Biashara 12 zinazolipa, zinazohitaji mtaji chini ya 100,000

    Ana Maanisha hivi unakodi camera SIO kununua kaka maana kukodi ni elf 20 mpk 30 kma unajuana na mtu mwenye camera SIO kununua
  8. Wendo click23

    JamiiForums Tanzania Biashara 12 zinazolipa, zinazohitaji mtaji chini ya 100,000

    Daah kwaio SI tukifa we Ndo faida Yako
  9. Wendo click23

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 6 nataka nianze biashara ya bodaboda

    PPi Biashara ya boda inalipa sana sio Siri lakini inabidi upate dereva anayejielewa na anapassion ya iyo KAZI Kuna aina mbili za biashara ya boda Kuna mkataba na Kuna ya kipande. MKATABA. IPO Ivi Kwa siku elfu 12 Kwa dar es salaam. Baada ya miezi 12 kijana anachukua pikipiki mnaachana ambapo...
  10. Wendo click23

    JamiiForums Tanzania TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

    Inawezekana kabisa Kodi ya gari Tanzania inaanzia robo ya thamani ya gari mpak Muda mwingine inazidi thamani n vizuri watu kucalculate kwenye calculator Yao tra IPO kwenye website mfano Kuna gari Moja inaitwa jaguar nilifatilia inauzwa million 50 Kodi yake ikawa million 100 hii Ndo nchi yetu mzee.
  11. Wendo click23

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, hakuna mwanamke asiye na mpenzi

    Hahaha umenichekesha sana kiukweli ndivyo ilivyo Dem MMOJA Kwa siku anatongozwa na wanaume 5 makadirio awe mzuri au mbaya Tena mzuri Ndo balaaa kabisa. Ndivyo ilivyo yaani huwezi kukuta mwanamke singo Ndo maana at m nikitongoza akikataa sibembelezi nakausha mazima. Ili mambo yasiwe mengi
Back
Top Bottom