Recent content by wende

  1. wende

    Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

    Match yoyote ile ni lazima iwe na watazamaji/washangiliaji. Mi ni mshangiliaji!
  2. wende

    Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

    Pole sana mkuu. Ndo maisha na uikubali hali yako!
  3. wende

    Mwanaume kuandika neno tyu haipendezi

    Nakerwa na neno "pouwa" = poa!
  4. wende

    Mwanaume kuandika neno tyu haipendezi

    Nakerwa sasana "tyuuu",xaxa na mengine yanayofanana na hayo!
  5. wende

    Kipimajoto ITV miaka 18 bila Baba wa Taifa; Je, misingi ya utaifa aliyosimamia inaenziwa na kuendelezwa

    Kayataka mwenyewe kwani hakujua before?? ,Na Kimbelembele chake!
  6. wende

    Shime Wabunge wenzangu wa CCM twendeni tukamuone Mbunge mwenzetu Tundu Lissu Nairobi Tutamuogopa Mwenyekiti mpaka Lini?

    Kama Nyalandu anashambuliwa hivi kila kona ya wanaccm.....wengine lazima waogope!
  7. wende

    Hoja Fupi: Ilikuwa ni Makosa kwa Vyombo vya Habari Kumsusia RC Dar

    Umerogwa!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. wende

    RC Dar: Baa na nyumba za kulala wageni zilizo maeneo ya shule zibomolewe

    Je kama shule zilimfuata aliyetangulia!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. wende

    Spika wa Bunge, Job Ndugai athibitisha kupokea barua ya kuvuliwa uanachama Wabunge 8 wa CUF

    Kichekesho,kumbe prof bado ni m/,kiti? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. wende

    Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA

    Zito ni wa ACT ambako yule RC wa Moshi ametokea! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom