Kwa maoni yangu. WaTanzania waliomo humu jf ni matajiri. Wakenya humu ni wa kipato cha kati. Ndio maana wanafikiri wameendelea wakijiona. Si maajabu hawajui hali ya Mtanzania wa kawaida. Siku macho yao yatafunguka watajua hawajui. Lakini tusiangalie takwimu hizi tukafikiri tuko vizuri kushinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.