Hii mada mnajadili kitu kinaitwa VIA vya Uzazi.
Via vya uzazi ni viungo vinavyohusika na uzazi.
Kuna aina mbili ... Via vya kike na kiume.
Hutambuliwa kwa makundi mawili yaani Via vya ndani na Via vya nje.
Sasa kwa mwanamke.
Via vya nje
- Mashavu (Labia Major and Minor)
- Kisimi (critoris...
Kisaikolojia tatizo lipo hivi.
1. Ni nadra sana mke n.a. mume kufundishana jambo ni rahisi kwa wachumba au bfrnd grlfrnd kwa sababu wewe unaona unamfundisha mke wako na sio mwanafunzi na yeye anaona anafundishwa na mumewe sio mwalimu hivyo ni rahisi kuona unampelekesha n.a. wewe ni rahisi...
Kabla ya 24/11 hukufanya nae mapenzi? Kikubwa cha kuangalia ni yeye alipata lini hedhi yake ya mwisho? First day of last menses
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajamvi.
Kichwa cha habari kinajieleza. Moja ya mada za kitaifa zosizo rasmi na zinazo trend kwa kasi ni hii ya nguvu za kiume.
Nimejaribu kufuatilia matangazo yake promo zake na dawa hizo nimegundua yafuatayo.
1. Matapeli wanacheza na akili za wanaume
2. Nguvu za kiume ni janga kwa...
Wanaume tupunguze mfumo dume...... kwahiyo mwanaume haonekani muhuni kwa kumchukua huyo aliyejuachia? Tuhimize kuoana Not mwanaume kuoa na wanawake kuolewa......
Ni bora ulete picha ya box lake tukuambie kuliko kutumia kidonge ......
Hii ni kwasababu viwanda siku hizi vinatabia ya kutoa dawa zakufanana umbo. ..
...mfano kiwanda cha Pom au Mylan
Hapo kuna mambo matatu baada ya kujadiliana wanaweza fikia mwafaka huu
1. Kubaki bila mtoto au kuendelea kusubiri.... haitaathiri kitu na mtoto ni zawadi
2. Kuadapt mtoto kisheria inaruhusiwa na hata kwa baadhi ya makabila yasiyo ya kibantu kama wamasai kuna urafiki wa watoto .... yaani anakupa...
Huwezi coz U professor sio tunzo ni ualimu..... tunzo ni PHD ambayo kama tafiti inatija unapewa hata kama una diploma though imezoeleka kutolewa after first degree.....
U can be awarded a PHD before Masters degree....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.