Nilishamuuliza hua anaona katikati ya mwezi, pia siku tunaduu alinisihi nisimwagie maana yupo siku za hatari, na nilimwaga nje lkn papo hapo nikaendelea na gemu sikua najua km ingeweza sababisha mimba,
Napata sintofahamu sababu mda wa mimba kutimia naona bado, nikiwaza aliipata kwa mwanaume mwingine basi asingesisitiza nisimmwagie ndani.
Kama ilikuwa siku ya hatari hapo condom ilikuwa inawahusu sio kumwaga nje. Lea mwanao huyo, kumbuka binadamu tunakadiria tu ila Mungu pekee ndo anajua lini mtoto atazaliwa.