Recent content by weis

 1. W

  How do you handle being an introvert?

  Kwa kweli inachukua muda kwa watu wa aina hii kuwa na muunganiko mzuri na watu wengine, binafsi nilikua nikiumizwa sana jinsi watu wanavyonitafsiri muda mwingine utaambiwa unadharau kwa sababu hupendi kujumuika na watu, lakini kiuhalisia haudharau watu lakini unakua hauko comfortable kujumuika...
 2. W

  Selection za waliochaguliwa kusoma kozi za afya kwa walio omba NACTE 2020/2021

  Yaah ushindani si wa kitoto niliomba mara mbili mfululizo nikapulizaa, pass zangu zilikuwa BCC
 3. W

  Nacte second admission ni kwa private institution au hata govment, msaada wakuu

  Nimekutana na hili tangazo website ya nacte sasa lina nipa utata lina husu institutions zp private tuuu au na govment msaada wakuu
 4. W

  Diploma ya ualimu kusoma degree ya md

  Shukran mkuu nmekupata
 5. W

  Diploma ya ualimu kusoma degree ya md

  Shukran mkuu nmekupata
 6. W

  Diploma ya ualimu kusoma degree ya md

  Wadau msaada naomba kujuzwa kama ni kweli mtu akisoma diploma ya ualimu kwa masomo kama physics na mathematics au chemistry na bios anawez kwenda kupiga degree ya medical doctor . Natanguliza shukran zangu wakuu
 7. W

  Kwa wote walioomba vyuo kupitia Nacte

  Dah aisee naona mambo n dry mpaka sasa saiz hata link ya kuingia profile haifunguk sjui huko kwen wadau?
 8. W

  msaada nacte wakuu

  Shukrani mkuu nimekupata
 9. W

  msaada nacte wakuu

  Habari za muda wakuu naombeni msaada kila niki log in kwenye profile yangu nacte wananiambia no user name and password matched you are entry mwaka jana ilikua...
Top Bottom