Recent content by Webville

  1. W

    JamiiForums Tanzania Toa maoni yako.

    Wanajamvi naombeni michango yenu, nina maswali machache juu ya e-learning kwa mazingira ya Tanzania. 1. Hali halisi ya matumizi ya e-learning kwa Tanzania ikoje kwa sasa? 2. Ni matatizo gani yanaikabili e-learning hapa Tanzania? 3. Kuna faida zozote au ulazima wowote ule kutumia e-learning kama...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta.

    Natafuta "Recovery software", data about 50GB, hazionekani kabisa kwenye external Hard Disk. Msaada tafadhali.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Watu wa IT naombeni msaada.

    Kang path ya kwenye movie ipo sahihi kabisa. Nimefikiria labda natakiwa ni install plugin katika Eclipse . Nashukuru kwa mchango wako.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Watu wa IT naombeni msaada.

    Wakuu wa IT nisaidieni nimekwama hapa. Natumia Eclipse kama IDE. Apache kama webserver Tomcat kama container Lakini flash file iliyopo kwenye heder.jspf inagoma kuwa displayed. Hii ndio header.jspf file inayogoma ku display flash file. <...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Nimekwama!

    <linkrel="stylesheet"rev="stylesheet"href="stylesheet/master.css"type="text/css"media="screen"charset="uft-8"/> < tablewidth="772"border="0"cellpadding="0"cellspacing="0"> <tr><tdcolspan="3"height="1"bgcolor="CFDEF7"><imgsrc="images/site/spacer.gif"></td></tr> <tr>...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nimekwama!

    Nina website ambayo awali nilitumia static html and simple javascripts pages,ikawa inawork vizuri katika Dreamweaver. Nimejaribu kuongeza baadhi za features na kufanya implementation kwa kutumia JSP tech, katika WSAD na Eclipse , tatizo linalotokea kwa sasa ni kuwa flash file katika header.jsp...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nauliza.

    Kuna mtu amewahi nunua CDs toka kwa hawa jamaa? http://www.vtc.com Mimi nahitaji lakini malipo yanataka visa card,nami nilipo ni kijijini, siwezipata visa card Naomba msaada wenu kwa wenye udhoefu au waliowahi kununua CDs zao. Napenda CDs kwasababu hapa kwetu hakuna private internet, hadi niende...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadahali.

    Wakuu natakiwa kudevelop web application itakayo involve web services mbalimbali...kwa bahati mbaya muda hautoshi...hivo naomba kujifunza kwa haraka zaidi namna ya kutengeneza web services ili niweze kukamilisha project niliyopewa. Nahitaji kujua i.Jinsi ya kucreate webservices ii.Jinsi ya...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadahali.

    wandungu natafuta mtaalamu wa WEB SERVICE. shukrani
Back
Top Bottom