Kutoka kijiji kidogo cha wavuvi kwa umaarufu Mzizima mpaka kuwa Jiji kuu na kitovu cha biashara nchini Tanzania ni safari ndefu sana kwa Dar es salaam, Jiji lenye eneo na km za mraba 1800 na wakazi zaidi ya milioni tano.
Changamoto kubwa kwa jiji hili ni msongamano wa magari na makazi kwa...
Mwaka 1993 kwenye Fainali ya CAF Kwa Sasa Shirikisho kwenye uwanja wa Uhuru timu ya Simba ilipoteza Kwa kupigwa magoli mawili dhidi ya Stella Club d'Adjame ya Ivory Coast, hali iliyopelekea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa wakati huo Mh. Ally Hassan Mwinyi (Mzee wa ruksa) kutokwa na...
JANGA LA HESABU MASHULENI
Somo la hesabu ni somo lenye uwezo wa kuufanya ubongo wa binadamu kuwa na uwezo wa kufikiria na kuja na jibu sahihi pale penye tatizo na hii ndio faida kuu ya somo hili ndiomaana wanafunzi pia wanafeli masomo mengine kwa sababu wanakosa fikra za kimahesabu wanaposoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.