Recent content by Weakman

  1. W

    Naenda kufa Desemba 9, hakuna haja ya kuendelea kuishi tena

    Ingawa Ni chai Lakini umeniliza saana!
  2. W

    GE2025 Rais Samia amechafua vibaya mno taswira (image) ya Tanzania kimataifa

    Halafu eti unajiita HAKI KWA WOTE na unahubiri habari ya kila mtu aangalie maslahi yake! Bure kabisa!
  3. W

    Ummy Mwalimu: Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH

    Boss wa mbunge ni wananchi wa Jimbo lake, kenge wewe! Nyie ndo munatuchelewesha kupata Taifa la wananchi! Siku zote munataka watu waishi kwenye dhana ya Rais ni boss wa kila kitu
  4. W

    GE2025 Askofu Gwajima: Kiwango cha kupendwa kwa CCM kiko chini kuliko wakati wowote katika Historia ya Tanzania

    Upendo huzaa haki Kwakuwa hamna upendo wowote, ndio maana hamjali haki na mupo tayari kuua yeyote anayehatarisha fursa yenu ya kushika dola
  5. W

    Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole

    We uliyemtakatifu una mchango gani kwenye mapambano ya kulileta Taifa la haki?
  6. W

    GE2025 Mahakama yatoa Siku Saba CCM kujieleza, uteuzi wa Samia kugombea Urais

    Naona wengi wamelike comment yako Usichojua ni kuwa kazi ya Polepole ni kubwa Sana na kazi hiyo inaipa nguvu hio kesi pia Hata hivyo wewe pamoja na wenzako wengi mpo kimya mkilalamika sirini Walau Polepole anaongea na kwa maneno yake wengi wanapata Elimu na mwamko wa kupinga udhalimu chamani
  7. W

    Sijaona Kada wa CCM mwenye uwezo wa kujibizana na Polepole

    Wassira, Makalla na wengineo Walikuwa wanajibu hoja za Heche kila alipokuwa anawabagaza mikutanoni Sasa wamejikausha kimyaa utadhani hakuna mtu anawashambulia!
  8. W

    Mbowe kaamua kuchagua fedha na sio heshima

    Au aseme kwanini anaumia akiona wazazi wake wanadharauliwa mtaani
  9. W

    Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

    Ukiwa nje ya CCM, Kama hauna maslahi binafsi na chama, na kama una akili timamu lazima ukichukie
  10. W

    Wakili anayejitafuta against mwalimu mwandamizi sekondari

    Wazee, hivi wakili anayejitafuta mtaani, labda amegraduate last year, na mwalimu sekondari bachelor degree holder mwenye miaka 10 kaziñi, Nani ana possibility kubwa ya kuwa na maisha supa miaka 10 ijayo? Assume wote wanaishi area moja in the same country!
  11. W

    Kukubali uteuzi wa mtu usiyempenda na kumuamini kisha baadae unajiuzuru ghafla si ni unafiki?

    Kuteuliwa ni kutumikia Taifa sio kumtumikia aliyekuteua Utapaswa kukataa uteuzi iwapo malengo ya aliyekuteua ni kutaka ukamtumikie yeye! Kwa dhana uliyonayo maana yake watumishi waumma waache kazi iwapo ataingia madarakani Rais wasiyemtaka
  12. W

    Wanaokebehi tendo la wakatoliki kuungama dhambi kwa Padre, someni hapa!

    Haupaswi kuwa na kibri kung'ang'ania unachojiaminisha mwenyewe! Mafundisho ya matendo ya kanisa yameainishwa kwenye katekisimu ya kanisa Itafute usome ujue tendo la kitubio Cha kanisa lina hatua zipi za kufuata
  13. W

    Wanaokebehi tendo la wakatoliki kuungama dhambi kwa Padre, someni hapa!

    Huo Ni Uzushi, Lakini kwenye wengi Kuna mengi Serikali hasa maafisa usalama zilijaribu kurubuni baadhi ya mapadre na maaskofu ili kupata Siri mbalimbali za waumini waliowatarget Wakati mwingine maafisa usalama walipenyezwa kuwa maaskofu ili kufanya namna ya kupata Siri za wale waliowatafuta Na...
  14. W

    Wanaokebehi tendo la wakatoliki kuungama dhambi kwa Padre, someni hapa!

    Kuungama ni Nini? Kuungama ni tendo la kukiri uovu wako mbele ya watu au mtu. Kwa mfano upo ofisini umeiba charger ya mfanyakazi mwenzako. Yule uliyemuibia unamuuona anahangaika kwa uchungu kuitafuta. Anagombana na watu kadhaa akiwatuhumu kuwa wamechukua. Mbaya zaidi Kumbe naye aliiazima kwa...
  15. W

    Anaye trend sasa ni Humphrey Polepole, tupitie mawazo ya wadau wanasema nini kuhusu kujiuzulu

    Sio wanajifanya hawapo pamoja Ni kweli wanakuwa hawapo pamoja kwa sababu ya makundi ya kupigania Uchaguzi Ila Uchaguzi ukiisha kila mmoja anarudi kundini kutafuta teuzi na kuandaa mazingira ya Uchaguzi mpya
Back
Top Bottom