hyo ni possible loan mkuu lkn wanafunzi waliodahiliwa mwaka jana tuition fee loan wamepata 3.1M ina maana wao wanaongeza iliyobaki kwaiyo unaweza ukajichanga kiasi kinachobaki mkuu if possible.
kaka hii ni health care profession ambayo nchi yetu bado ina upungufu wa wataalamu wa afya kwahyo hicho ulichokisema hakipo, Diploma ipo tangu muda na hakuna graduate wa diploma wanaokosa kazi. kwaiyo bachelor degree haitakuwa na usumbufu kama huo kabisa.
Kama umehitimu kidato cha sita PCB, PCM, CBG au PGM nakushauri uchague Bachelor of science in Optometry. Ni program mpya katika chuo cha KCMUCo, Moshi.
Optometry ni eye health care professional.
Nakaribisha maswali Zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.