Cybersquatting ni nini?
- Cybersquatting ni kitendo cha kihalifu kinachofanyika mitandaoni, ambapo muhalifu wa kimtandao au mdukuzi, huchukua, hudukua au hununua jina husika mtandaoni ambapo jina hilo linamilikiwa na kampuni, mtu au biashara husika ambapo pia kwa upande mwingine huwa na...