Wanabodi habari.....
Tumekua tukilalamika sana lakini hatusikilizwi juu ya upataji wa tiket za SGR... mfano mzuri ni lalamiko la Afande na ASKOFU Fulani hivi... toka jana najaribu kukata tiketi toka dom kwenda dar naambiwa tiket hakuna hadi jumatatu lakini kwa wakati huu huu naambiwa niingie...
Utumishi hawawezi kukukatalia chochote. Unaotakiwa kupambana nao ni hiyo taasisi unaotaka kwenda je?? Wana shida na wewe?? Ukute tayar mtu wanayemtaka wameshamuelekeza mtu aombe huko kwenye mfumo saa nyingine nyie wengine mnakua ni bwege wsindikizaji
Kwa tetesi zilizopo nasikia Simbachawene ameambiwa apashe misuli moto kuna namba uwanjani inapwaya vibaya mno... kikwazo ni kwamba hakuna kocha mwenye mamlaka wa kumtoa huyo mchezaji mchezoni labda wamuuwe
NA walishapiga kura ya kutokua na imani na Rais automaticaly bunge nalo linavyunjwa kupisha uchaguzi mkuu mwingine.... ni mbunge gani mwenye ujasiri wa kupiga hiyo kura??
Hujui siasa. Angekua ni mtu mwepesi... Jiwe na ubabe wake wote angemuacha hapa hapa bongo. MAGU alijua nguvu na ushawishi wake na ndio maana akampeleka Brazil ili asiwe kikwazo kwake maana alimshindwa... Tumia akili kufikiri
Hii hali sasa imekuwa too much.
Serikali ingilieni kati toka mwezi wa pili mwaka huu wanafunzi wa shule ya sekondari JENISTER MHAGAMA wa kidato cha kwanza na kidato cha tatu wamekuwa wakianguka mapepo...
Leo watoto zaidi ya 100 wameanguka na hali zao ni mbaya wengine hawaoni wala kuongea...
Toka huu ujinga unatokea kule tunduma nilisema hii ni agenda ya kututoa kujadili mambo ya msingi... na nikasema hili jambo litazagaa nchi nzima ili kelele zisiwepo. Na ndio inavyotokea...... mtu atakushikaje bega mbupu na kende zake zipotee???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.