Naomba Ushauri,
Mimi nahitaji Router nitakayotumia kwenye matumizi kawaida ya kubrowse mtandaoni na matumizi tu ya kawaida, na kustream online kwenye DSTV na kudownload movie lakini sio sana.
Nichukue internet ya speed ipi zuri pia mtandao upi ulio na unafuu kwa matumizi haya.
Hasa hasa...
Chief naomba kuuliza Oneplus 13s ni worth kununua kwa tsh 1500,000
Kipaubele ni simu yenye size dogo lakini battery iwe zuri pia perfomance iwe zuri.
Ushauri wako chief.
Chief naomba kuuliza Oneplus 13s ni worth kununua kwa tsh 1500,000
Kipaubele ni simu yenye size dogo lakini battery iwe zuri pia perfomance iwe zuri.
Ushauri wako chief.
Naomba kuuliza hii simu poco M6 pro 5G
kutoka India inaweza fanya kazi vizuri kwa hapa bongo, hasa upande wa Mtando na ubora wake ukilinganisha na budget.
nataka kuangizia India.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.