Ndugu zangu bila kuangalia itikadi za vyama vyetu! !! Tuchagueni raisi mwenyeuchungu na nchi yetu sio hawa wapenda kula,, maana tukikosea tu ni maju
to ya miaka kumi mbele
Sio mkos! Hebu sema ww mara ya kwanza ulipangwa wap?? Kama ulipangwa somewhere naomba uende ukarpoti!! Ila kama ndo unataka kupangiwa kituo cha kaz!! Maana mi sijakusoma vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.