Recent content by WaziriCB

  1. WaziriCB

    JamiiForums Tanzania Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

    Watu mnawazaje lakini? Sikumbuki wydad alikuwa kundi gani, but the likes of madrid, juve, man city, chelsea ndio unampima na kum asses Azizi Ki na Selemani mwalimu. Guys tuache nongwa.
  2. WaziriCB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Muwe mnajiongeza, mimi nimempigia simu akanisimulia pale alipoishia mpaka hali ilivyo kwa sasa. Nimefanya hivyo ili kupunguza mikesha isiyo na maombezi. Asante sana patrickk .
  3. WaziriCB

    JamiiForums Tanzania Kibabage amegoma kubadilika, mbadala wake huyu anatufaa sana aletwe..

    A guy Kibabage hamna sehemu anafanya vizuri katika vyote viwili. At least ujue kuwa anaweza kukuoffer kimoja kati ya viwili. Kuna sajili tunafanya ili mradi, hatuendani na mahitaji yetu bali tunasajili kwa sababu mchezaji fulani anapatikana kwa wakati huo.
  4. WaziriCB

    JamiiForums Tanzania Kibabage amegoma kubadilika, mbadala wake huyu anatufaa sana aletwe..

    Farid Musa akichezq mbavu ya kushoto ana umahiri mkubwa kuliko kibabage! Mtanisamehe wanajamvi
  5. WaziriCB

    JamiiForums Tanzania swala vijana wa kiume kujenga misuli kwa steroids/protein ni ushamba na kutokujiamin

    mimi na rafiki yangu tumeamua hivi baada ya kugundua madhara ya poda.
  6. WaziriCB

    JamiiForums Tanzania Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

    Kumbuka ni arusha mjini, sio kijijinii kwetu majohe. Chini ni mfano wa thamani ya pesa ilivyokuwa miaka ya nyuma
  7. WaziriCB

    JamiiForums Tanzania Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

    Hicho ni kitabu cha Ben R Mtobwa kimekutwa hapo ndani
  8. WaziriCB

    JamiiForums Tanzania Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

    200/- around 1990s ilikuwa kitita kikubwa cha pesa.
  9. WaziriCB

    JamiiForums Tanzania Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

    USANGI UMOJA WA KUFA NA KUZIKANA hadi mihuri ipo. Nadhani hizo risti hazihusiki na ushirikina wake.
  10. WaziriCB

    JamiiForums Tanzania Leo tukumbushane vipindi vya RFA na watangazaji wote miaka hiyo kuanzia 2005 pamoja na watangazaji wa vipindi

    Asante sana mkuu, RFA ilikuwa zaidi ya burudani ukiongezea na uhakika wake wa kupasua mawimbi maana hadi nje ya nchi ilikuwa inasikika
  11. WaziriCB

    JamiiForums Tanzania Leo tukumbushane vipindi vya RFA na watangazaji wote miaka hiyo kuanzia 2005 pamoja na watangazaji wa vipindi

    Jazia hapo Jacob marcus mitaliani Groly Robinson Rebeca mulesi huyu nadhani bado yupo Steve moyo mchongi
  12. WaziriCB

    JamiiForums Tanzania Leo tukumbushane vipindi vya RFA na watangazaji wote miaka hiyo kuanzia 2005 pamoja na watangazaji wa vipindi

    Daah umekumbusha mbali aise. Nikikosa hicho kipind lazim niulize mwendelezo kwa wafuatiliaji wenzangu. Hamna kitu kilikuwa kinakera kama redio kukatika. Sijui ilikuwa inasababishwa na nini?
  13. WaziriCB

    JamiiForums Tanzania Leo tukumbushane vipindi vya RFA na watangazaji wote miaka hiyo kuanzia 2005 pamoja na watangazaji wa vipindi

    Hapa umegusa roho yangu kabisa. Ni redio yangu pendwa hii tokea miaka mingi. Vodacom burudani zaidi ndani kukiwa na section ya sindano kali za moto, alitangaza Fred Fidelis kila asubuhi ukitoa wikiend Sintasahau hichi kilikuwa cha fredrick Bundala sky walker. Ni matukio ya kusisimua sana...
  14. WaziriCB

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa picha za misemo mbalimbali ya kwenye magari

Back
Top Bottom