Recent content by Waziri2025

  1. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamwamuru kuachia ofisi ya mfanyabiashara maarufu jijini Arusha Saleh Alarmy kwa kushindwa kesi

    Licha ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Divisheni ya Biashara, kuamuru kufutwa kwa hisa asilimia 18 zilizokabidhiwa kwa Daudi Ibrahim Lumala kinyume na utaratibu, pamoja na kufutwa kwa nafasi yake kama Mkurugenzi wa Kampuni ya Sunset Tarangire Limited, Lumala bado ameendelea kuwepo ndani...
  2. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Gari la Kampuni ya Pepsi Arusha lakamatwa kwa kukwepa kodi

    HALMASHAURI ya wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha ,inalishikilia gari la Mauzo la kampuni ya Vinywaji baridi ya Pepsi (SBC)ya jijini Arusha baada ya kampuni hiyo kukwepa kodi kwa kipindi cha miaka 7. Akiongea mhasibu wa halmashauri hiyo,Magige Chacha alisema kuwa gari hilo aina Eicher lenye namba...
  3. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania CCM Arusha wamtuhumu Kigogo wa Serikali kumnadi mgombea kwa siri

    Kigogo wa Juu Mkoani Arusha Anatuhumiwa Kuanza Kampeni za CCM Mkoa Mapema Kwa kumnadi mmoja wa Wagombea wa nafasi ya mwenyekiti Chama hicho mkoa wa Arusha, Kwa Madai kuwa ana Maelekezo kutoka Ngazi ya Juu. Kigogo huyo amekuwa akiwaita wagombea na wapiga Kura ofisini kwake na kuwapa Maelekezo...
  4. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha watimua Askari watatu kwa utovu wa nidhamu

    Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha,Kamishina Msaidizi,Justine Msejo alsema kuwa jeshi hilo limewafukuza kazi askari kwa fedheha askari wake watatu kwa kosa la kwenda kinyume na maadili ya jeshi hilo katika tukio ambalo hakuwa wazi. Msejo akiongea ofisini kwake aliwatahadharisha askari polisi...
  5. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa Polisi Arusha wadaiwa kumpora mfanyabiashara milioni 3, watupwa lokapu

    Askari Polisi Watatu akiwemo Mkuu wa Kituo cha Polisi Engutoto Jijini Arusha, Mkaguzi Msaidizi Mahamud Jakaya wameswekwa rumande katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha kwa kosa la kupora shilingi milioni 3 za Mfanyabiashara wa Mazao kutoka Mkoani Dodoma, Ramadhani Hamisi. Inadaiwa kuwa...
  6. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya Sensa Arusha,yafunika

    MAMIA ya wakazi wa jiji la Arusha wamejitokeza kwa wingi kushiriki maandamano makubwa ya kuhamasisha zoezi la sensa ya watu na makazi yaliyoandaliwa naTaasisi ya dini ya kiislamu ya Twarika Qadiriya mkoani Arusha ambapo wananchi hao walisema wapo tayari kuhesabiwa. Akiongea mara baada ya...
  7. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Mmiliki wa shule awaburuza Kortini wazazi wasiolipa ada, akamata mali zao

    Wazazi wanaosomesha watoto wao katika shule binafsi ya msingi ya Geen Pasture iliyopo katika halmashauri ya Arusha, wilaya ya Arumeru ,mkoani hapa,wamemlalamikia mmiliki wa shule hiyo kwa kukamata samani za ndani baada ya kushindwa kulipa ada za watoto wao. Wazazi hao wameiomba serikali...
  8. Waziri2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doreen Lyatonga Mrema: Mzee Mrema ananifikisha hatari, hatuachani

    Mrembo wa Mrema
  9. Waziri2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doreen Lyatonga Mrema: Mzee Mrema ananifikisha hatari, hatuachani

    Doreen Agustino Mrema ambaye ni mke wa mwanasiasa maarufu nchini,Agustino Lyatonga Mrema ameeleza kufurahia maisha ya ndoa na mmewe baada ya mwanasiasa huyo kumpoteza mke wake mpendwa Rose Mrema Mwaka huku akisisitiza mmewe anamridhisha kila kona. Akizungumza na Vyombo Vya habari Doreen amesema...
  10. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Arusha: Vinara waliokamatwa na gunia 15 za Mirungi wachomolewa usiku wa manane Polisi

    Wafanyabiasha vinara wa dawa za kulevya aina ya Mirungi kutoka Nchini Kenya waliokamatwa na magunia 15 mei 14 mwaka huu katika Mji wa Namanga, wanadaiwa kuachiwa katika mazingira ya utata, usiku wa manane huku gari lililokuwa likisafirisha mihadarati hiyo likitoweka kituo cha polisi ...
  11. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Meya Arusha awataka waganga wa tiba asilia kuwekeza katika tafiti za mimea, awataka wawe "smart"

    Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Maximillan Iranqe amewataka waganga wanaojishughulisha na tiba asilia mkoani Arusha kuwekeza zaidi katika tafiti za mimea inayotibu maradhi ya mbalimbali kama nchi za barani Asia hususani China. Pia awataka waganga hao kujiepusha na vitendo vya utapeli ili kuipa...
  12. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akutana na Mzee Edwin Mtei

    Mkewe wa ndoa anaitwa Lilian Mbowe sio Irene lakini pia amezaa na aliyekuwa mbunge wa viti maalumu Chadema,Joyce Mukya watoto wawili ni nyumba yake ndogo uhusiano wao uliwahi kuleta mtafaruku sana kwenye ndoa ya wawili hawa kwa sasa hatujui nn kinaendelea
  13. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akutana na Mzee Edwin Mtei

    Huyu ni mkwe wake pia usisahau Mbowe amemwoa binti yake Irene
  14. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Royal Tour, tulitumia kama bilioni 7 gharama za kila kitu

    Gazeti la serikali la Habari Leo toleo la Leo Siku ya jumapili limeripoti habari kuwa filamu ya The Royal Tour imegharimu jumla ya kiasi cha sh,7 bilioni hii imekaaje wadau je kiwango hiki kinastahili au hakistahili kazi kwenu wanajamvi nawatakia jpil njema .
Back
Top Bottom