Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la Hisa Dar es Salaam DSE imekuwa na matokeo mabaya.
Slaa ambaye alikuwa...
Wanacha wa tlp wachachama mikoani wamkalia mwenezi kooni
Pia soma > Msajili wa Vyama vya Siasa alalamikiwa kusimamia uchaguzi feki wa TLP
TAARIFA KWA UMMA
YAH: KUTOLEA UFAFANUZI WA UHALALI WA UCHAGUZI ULIOFANYIKA JUZI TAREHE 02/02/2025 KATIKA UKUMBI WA MRINA HOTEL TIP TOP MANZESE
Ndugu...
Wanachama wa chama cha Tanzania Labour Part {TLP} wamemtaka msajili wa vyama vya siasa kuacha kushirikiana na katibu mkuu wa chama hicho Limo kukiingiza chama katika mgogoro na wanachama wake walioko mikoani .
Wakiongea na msajili wa vyama Sisty Nyahoza kwa njia ya simu wamemtaka kuacha...
Baraza la Maadili limemaliza kumhoji Mkuu wa Chuo cha uhasibu (IAA )Arusha,Professa Eliamani Sedoyeka kuhusu tuhuma nne zinazomkabili ambapo katika majibu yake amedai hazina ukweli wowote na kwamba alifuata taratibu zote za kiutumishi katika kufanya maamuzi.
Akijibu Tuhuma ya kuwa na ukaribu...
Mwandishi wa Milard Ayo wa Jijini Arusha Godfrey Thomas akiwa katika majukumu yake ya kawaida akiwarekodi wananchi walio funga barabara ya Arusha Dodoma.
Kwa madai ya kuchoshwa na vifo vya watoto kugongwa mara kwa mara na kupoteza Maisha ametekwa na kuchukuliwa vifaa vyake vyote vya kazi na...
wachezaji wa Riadha katika mashindano ya Olympic ya mwaka huu 2024 Paris yatakayo fanyika Nchini Ufaransa huenda kikosi Cha timu ya Tanzania iliyo tarajiwa kwenda kwenye mashindano hayo wasiende katika mashindano hayo makubwa Duniani .
Zikiwa zimefanyika maandalizi makubwa ya safari na...
Mfanyabiashara na mkazi wa jiji la Arusha, Patrick Swai ameangua kilio mbele ya mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akilalamikia halmashauri ya Monduli kushindwa kumlipa malipo yake ya sh, milioni 227.7 kwa muda wa miaka 18 baada ya kukamilisha ujenzi wa shule.
Akiongea na vyombo vya habari...
RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani ,Mei Mosi yanayotarajiwa kufanyika kitaifa Mkoani Arusha.
Akiongea na vyombo vya habari Mkoani hapa, Rais wa Shirikisho la wafanyakazi Tanzania,TUCTA, Tumaini Nyamhokya alisema maadhimisho...
Siku chache baada ya Mwenyekiti wa chama cha mawakala wa utalii Tanzania (TATO) Wilbard Chambulo kuituhumu Halmashauri ya jiji la Arusha kudai kuwa ameilipa Halmashauri hiyo milioni 24 kwenye kodi aliyokuwa akidaiwa lakini akashangazwa kuona taarifa za malipo alizopatiwa zinaonesha kuwa amelipa...
Afisa Habari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru, Sirila Kiyanda ameigomea KLABU ya KITAMBI NOMA kutokufanya matendo ya huruma kwa Watoto ambao wamezaliwa kabla ya wakati (NJITI ) ambao wanapewa matibabu katika Hospitali hiyo licha ya wahusika hao kuwa na ruhusa na kibali...
Jeshi la polisi Mkoani Arusha, linamshikilia Mkurugenzi na mmiliki wa Bar Maarufu ya Kipong ,John Casian Shayo kwa kosa la kutengeneza na kuuza vinywaji feki aina ya Konyagi kinyume cha sheria.
Casian alikamatwa juzi usiku na mamlaka za serikali zikishirikiana na jeshi la polisi na baada ya...
Jaji Mahakama kuu divisheni ya Ardhi jaji Hemedi ametoa onyo kali na kutishia hati ya kuwakamata washtakiwa wawili ambao ni Joanita Kazinja pamoja na Hadija Kalulu kwa kosa la kudharau amri ya mahakama
Hatua hiyo imekuja baada ya washtakiwa kutokufika mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi yao...
Sakata la mgogoro wa eneo wa mfanyabiashara maarufu Mkoani Dar es salaam Valence matunda limeingia sura mpya baada ya kamishna wa ardhi Dar kutuhumiwa kuhusika kubadilisha hati kinyume na utaratibu
Akiongea na vyombo vya habari mfanyabiashara huyo amesema Kamishna huyo anadaiwa kukaidi maagizo...
Siku moja baada ya taarifa za mkaguzi msaidizi wa polisi kituo cha USA River Mkoani Arusha ,Demetrida Sweethbert Thadeo kuanikwa kupitia mtandao wa Jamii Forum akidaiwa kukodi majambazi ili kumuua mumewe,hatimaye jeshi hilo limemkamata na yupo mahabusu imefahamika.
Taarifa za uhakika zimedai...
Kukataa rushwa kwa mwanachama wa ccm ni jambo jipya , ni maajabu na jambo lisiloaminika , Hata Dr Magufuli aliyejaribu kuwadanganya wanaccm wenzie kwamba hachukui rushwa , jambo hili lilimshinda .
Baada ya mdogo wa Rostam Aziz kukamatwa na shehena ya Meno ya Tembo na mamia ya bunduki za kivita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.