Recent content by Wayyi

  1. W

    Mkutano wa Sugu na Kubenea huko Kyela

    Mwaka huu malofa wakiwa kwenye ubora wao
  2. W

    Baada ya mahojiano: Makosa yaliyomnyima Lema dhamana ni haya, kwa mujibu wa Mwanasheria wake

    Siri nzito sakata la Lema • Yadaiwa ni mkakati wa CCM kuipora CHADEMA kata na Ramadhani Siwayombe na Josephat Isango TUKIO la kukamatwa na kuwekwa mahabusu kwa...
  3. W

    Bungeni: Wabunge wapinga kanuni mpya za 'kuwaziba midomo'

    Mchakato wa marekebisho ya kanuni za Bunge umeibua mjadala mkali baina ya wabunge, huku wengi wao wakieleza kuwa hatua hiyo ina lengo la kulifanya Bunge kukosa meno ya kuisimamia Serikali. Miongoni mwa mambo yaliyozua mvutano katika kikao cha awali cha wabunge wote ni suala la muda wa...
  4. W

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    SIKU moja baada ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba, kukiri kuhusika na video inayomuonesha Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare, maswali mengi yameibuka juu ya kada huo. Baadhi ya wananchi wamelidokeza Tanzania Daima Jumatano...
  5. W

    Mkutano wa CHADEMA Houston April 6, 2013

    Mkoa gani na sehemu gani? Hiyo sehemu sijawahi kusikia? Tafadhali jibu ili tusichelewe kufika.....................................
  6. W

    CHADEMA Mkituangusha hatutawasamehe

    Hapo umenena MKUBWA, CDM TAIFA MIKAKATI IWE NI ELIMU KWA UMMA WA VIJIJINI. YALE MAFUNZO YALIYOTANGAZWA ZIWE KWA UPANDE WA VIJIJINI ZAIDI.
  7. W

    Big up rais wetu kikwete mipango yako tumeiona na tunaikubali wana ubungo

    Kumbe ccm wanasubiria migomo,maandamano,n.k ndip wafanye kazi sio? Cdm wasipondamana kimya, mnyika asipotangaza maandamano dar hamna maji sio?
  8. W

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    Kwa USA NI WATANZANIA? NA KWANINI ASIWE RAIS WA USA KAMA USA WANAMTAKA AWE RAIS WAO?
  9. W

    WanaCHADEMA tulieni Ushindi umekaribia!!!

    Tukomaa ndugu ni dakika za mwisho.
  10. W

    Ungependa nani awe mbunge wako kupitia chama cha chadema hapo mwaka 2015?.

    Atajulikana muda ukifika,tunajipanga kulitetea mbulu
Back
Top Bottom