Recent content by Wavisiwani

  1. W

    Juma Nkamia: 2025 Wakurugenzi hawatawatangaza walioshindwa Uchaguzi kuwa wameshinda

    Mwache atoe maoni yake si lazima yafanane na yako yeye anajua anachokisema. Bila ukweli kusemwa wazi na hadharani hatutasonga mbele kama Taifa. Wewe kweli unaamini Chadema ilipata jimbo moja tu? Kwa nini chama tawala kilikata rufaa wakati wakurugenzi walipoondolewa na mahakama kuu kusimamia...
  2. W

    Juma Nkamia: 2025 Wakurugenzi hawatawatangaza walioshindwa Uchaguzi kuwa wameshinda

    Mwacho atoe maoni yake si lazima yafanane na yako yeye anajua anachokisema. Bila ukweli kusemwa wazi na jadharani hatutasonga mbele kama Taifa. Wewe kweli unaamini Chadema lipata jimbo moja tu? Kwa nini chama tawala kilikata rufaa wakati wakurugenzi waliondolewa na mahakama kuu kusimamia...
  3. W

    Kwanini CHADEMA wanaonekana wa muhimu kuliko vyama vingine awamu ya sita?

    Sasa kwa mfano CUF unaweza kukiita chama cha kisiasa tena cha upinzani hali mwenyekiti wake Lipumba anampa mbinu za ushindi mwenyekiti wa chama tawala!? Na wanachama na viingozi wenzake wako kimya tu hawasemi lolote kweli utaamini hicho ni chama cha siasa? Chama kinachoongozwa na Profesa...
  4. W

    Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

    So wewe waona utaratibu haukufuatwa? Tatizo Watanzania tumekuwa waumini wa siasa chafu badala ya siasa safi ndo mana tunapigamakitaimu kufikia malengo chanya ya jamii ya wanadamu. Watu wengi wanaikataa siasa safi ambayo ni mojawapo ya mambo ya kutufanya tuendelee. Mtu mzima unakuta anashabikia...
  5. W

    Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

    Ubora wa mwanasiasa ni kuwa muadilifu. Nazidi kutilia mashaka maandiko yako kama unashabikia wanasiasa wasio waadilifu na kuwaita asset bora ya kisiasa. Mwanasiasa anayeweza kulaghaiwa na kuikana itikadi yake na ya chama chake unamuita asset! Kwelinimeamini mtu kadri anavyozeeka na akili yake...
  6. W

    Halima Mdee na wenzake waanza kufungasha virago vyao bungeni

    Alikwambia? Acha kuwa mtu wa porojo. No research no right to talk, wewe ni mwandishi mahiri na unajua kanuni za uandishi sielewi ni kwa nini huwa unatoa comment na maandiko yasiyoakisi weledi wako.
  7. W

    Hii logic imekaaje kuhusu siku sahihi ya ibada?

    Pia mpende Mungu kwa kutii amri zake ikiwemo na sabato
  8. W

    Hii logic imekaaje kuhusu siku sahihi ya ibada?

    Kama wakristo hawafuati agano la kale mbona wanashika amri tisa za Mungu zilizotolewa na Mungu kwa Wayahudi kwenye mlima Sinai? Mbona mtu akivunja hizo amri wanampa karipio na kumtenga? Kwa nini amri tisa tu ziwe halali ila moja tu iwe haramu kwao, yaani ya kusali Jumamosi. Wangeacha kuzishika...
  9. W

    Ni kwanini Vitabu vya Kiimani (Dini) vimepinga Mwanamke kuwa Kiongozi / Mtawala?

    Aya gani kwenye Quran inayopinga wanawake kuwa viongozi, mbona hujaitaja ili kuthibitisha andiko lako?
  10. W

    Watumishi wengi wa Serikali hawana tija. Mishahara inapotea bure

    Mimi wakati nasoma shule ya msingi na sekondari kuna walimu waliingia darasani na kufundisha vipindi vitatu, vinne ama vitano tu kwa mwaka hali ni wazima kiafya na wakiwa wanakuja shuleni kama kawaida, wengine walitutumia wanafunzi kuandika notisi, kusahihisha mitihani na majaribio na hata...
  11. W

    Bunge: CCM pekee ndiyo imewasilisha jina la Mgombea wa nafasi ya Naibu Spika

    Si rahisi mtu kutoka chama kingine kushinda unaibu spika ama uspika kwenye bunge la chama kimoja. Naona sasa wapinzani akili zimewarudia. Hata walioshiriki kugombea uspika niliwashangaa!
  12. W

    Wafanyakazi wa G4S tuliohamishiwa Zanzibar tunaomba ofisi ihamishie michango yetu ya Hifadhi ya Jamii NSSF kutoka ZSSF

    Sisi ni wa wafanyakazi tuliohamishiwa Zanzibar toka Bara kwa ajili ya kufanya kazi za ulinzi kwa miaka na siku tofauti. Tulipohamishiwa hapa visiwani kampuni yetu ya G4S ilitupatia mishahara yetu na kutuma michango yetu ya mifuko ya hifadhi ya jamii kama ada katika mifuko yetu ya hifadhi za...
Back
Top Bottom