Recent content by waungwanaTz

  1. waungwanaTz

    Acha chuki na wazazi wako

    Simulizi kuhusu kuwakumbuka wazazi. kwa simulizi nyingine kama hizi tembelea ukurasa wa " SIMULIZI ZA WAUNGWANA" hapa hapa JF.
  2. waungwanaTz

    Hodi waungwana

    Asante. Karibu pia kwenye ukurasa wangu ili upate kusikiliza "simulizi za waungwana"
  3. waungwanaTz

    Simulizi za Waungwana: Kuku anayeatamia mayai ya mamba hujitafutia matatizo

    YAI Kwa kuwa alikwa mwanae,Chuwa hakumwita mwizi bali,alimwita mdokozi. Chuwa akasahau ya kuwa, kile kinachofanywa na mwanae hakina tofauti na kilichofanywa na kina fulani ila kwa kuwa mwanae ameiba mboga madhara ya wizi wake yanaiathiri familia tu na kwa kuwa kina fulani wameliibia...
  4. waungwanaTz

    Simulizi za waungwana: Si kila asemaye asante basi katendewa wema

    ASANTE Baada ya kugundua mumewe anamsaliti, mke wa chuwa alimtazama mumewe usoni. Akamsogelea karibu zaidi, akambusu shavuni, kisha akamwambia “Asante sana mume wangu” Tofauti na busu la mkewe, ambalo lilimkumbisha Chuwa busu la Yuda kwa Yesu. Asante ya mkewe,ilimweka Chuwa njia panda...
  5. waungwanaTz

    Simulizi za waungwana: Aliyekubeba ndo anayejua uzito wako

    UZITO Licha ya changamoto zilizowakabili, wazazi wa Chuwa walifanya kila wawezalo ili kesho ya chuwa si tu iwe kesho nzuri bali kesho yenye fursa angavu na furaha ya kudumu. Miaka kadhaa mbele juhudi zao zikazaa matunda. Chuwa akahitimu masomo na kupata kazi nzuri. Baada ya kupata kazi,Chuwa...
  6. waungwanaTz

    Simulizi za waungwana: Ukitaka kula na shetani tumia kijiko kirefu

    SHETANI Baada ya msoto wa muda mrefu, Chuwa alifanikiwa kupata kazi. Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake, maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua...
  7. waungwanaTz

    Hodi waungwana

    Waungwana! Hapa ni mahala ambapo waungwana hukutana kwa lengo la kujadiliana,kuelimishana, kuonyana,kukosoana, kupongezana,kupeana ushauri na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali kwa njia ya kiungwana. Ili kutimiza lengo,waungwana watatumia “SIMULIZI ZA WAUNGWANA” kama rejea na mwongozo...
  8. waungwanaTz

    Sifa humfanya mwema, mwema zaidi na humfanya mbaya, mbaya zaidi

    NUKTA Licha ya kuonywa mara kadhaa, Chuwa hakuwa msikivu. Aliendelea na tabia zake,japo alifahamu kuwa tabia hizo,zinamuumiza sana mkewe. Siku moja, Chuwa alifanya yake tena. Aliporudi nyumbani,mkewe hakumsemesha. Alimuandalia chakula kisha akaondoka zake. Wakati mkewe anaondoka, macho ya Chuwa...
  9. waungwanaTz

    Simulizi za waungwana: Nzi hasiyefuata ushauri, huifuata maiti mpaka kaburini

    NZI Licha ya kuonywa na wazee,Chuwa aliziba masikio. Akaendelea kutumia fedha za mabeberu ili kuendesha kampeni zake. Baada ya kushinda uchaguzi na kuingia madarakani,mabeberu wakataka rejesho, rejesho hilo lilikuwa ni kumsainisha Chuwa mikataba mibovu ili wabebe mali za kijiji. Kadri mali za...
  10. waungwanaTz

    Simulizi za waungwana: Kwa asiyejua kusoma,nukta kwake haina maana

    Nukta. Licha ya kuonywa mara kadhaa, Chuwa hakuwa msikivu. Aliendelea na tabia zake, japo alifahamu kuwa tabia hizo zinamuumiza sana mkewe. Siku moja,Chuwa alifanya yake tena. Aliporudi nyumbani,mkewe hakumsemesha. Alimuandalia chakula kisha akaondoka zake. Wakati mkewe anaondoka,macho ya Chuwa...
  11. waungwanaTz

    Simulizi za waungwana

    Hodi waungwana. Hii ni awamu ya kwanza ya " SIMULIZI ZA WAUNGWANA" Awamu hii itakuwa na simulizi saba. Simulizi hizo ni: 1.ASANTE. 2.NUKTA. 3.NZI. 4.SHETANI. 5.SIFA. 6.UZITO. 7.YAI. Lengo la simuluzi hizi ni kuibua mijadala ya kiungwana kisha waungwana kutumia mijadala hiyo kuelimishana...
Back
Top Bottom