Recent content by Waukaya

  1. W

    JamiiForums Tanzania Hoja: Jina sahihi la Kiswahili ni Russia au Urusi?

    Uholanzi - Holland Uhispania - Spain Ufini - Finland
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    WaKenya watakuwa wamenuna kwa nini halikuanzia kwao!
  3. W

    JamiiForums Tanzania Polisi waua majambazi 4 na kukamata wengine 19

    Shortgun double barrow = shortgun double barrel
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

    Huyo ni fundi seremala mzuri tu...anachonga fenicha vizuri sana maeneo ya Keko maghorofani hapo. Siku ya kudondoka kwa iliyokuwa Chang'ombe Village (sasa National Hotel), Peter alikuwa ndani ya jengo akirekebisha moja ya milango ya vyumba vya hoteli ghorofa ya tano.. Vigae vilivyoezekea hoteli...
  5. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    'Money can't buy life' - Robert Nesta Marley. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kamera zafungwa daraja la juu la Mfugale jijini Dar es Salaam

    Sijui kwa nini baadhi yetu tunakuwa na mitazamo hasi juu ya kila hatua ya maendeleo inayopigwa...iwe kwa mtu mmoja mmoja au hata kitaifa. Miundombinu muhimu ni lazima iwe na mifumo ya kiulinzi kama kamera na hata askari kanzu...kamera kama hizo pia zimefungwa daraja la Mwalimu Nyerere kule...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wengi uamini mapenzi ni hisia tu kwa unayempenda kumbe ni mwenyewe kuamini anayeweza kufilisi wazungu

    Uanamke (feminism) sio sura, elimu, uwezo wa kifedha n.k. Ni hali ya mwanamke kuwa na mvuto wa kibinadamu wa kike wa asili. Hawa wanawake tunaowaona ni duni wengi wao wanao mvuto wa asili wa kike ambao ki ukweli unawavutia wanaume wengi. Na pia wengi wao msongo wao wa mawazo ni mdogo hivyo...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya RC Makonda kugawa Mtaa kwa Pengo,Sheikh Mohamed Said asema hakuna padre wala askofu aliyepigania Uhuru wa Tanganyika

    Niliwaza hilo pia. Kadinali Laurean Rugambwa (1912-1997) ndiye alikuwa kadinali wa kwanza mwafrika katika kanisa katoliki dunia nzima. Alipewa ukadinali 28 Machi 1960 na papa Yohana XXIII. Sidhani kama ana mtaa wenye jina lake! Tunaye mwanamichezo mahiri Filbert Bayi. Huyu alivunja rekodi ya...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Majambazi yamewafanyia unyama wahudumu wa Bar ya Diwani wa CCM

    Kiusalama inashauriwa umzuie mvamizi (intruder) kuingia kuanzia nje...kwa mantiki hiyo nazungumzia mlango au milango mikubwa ya kuingilia kwenye jengo (gates) pamoja na uzio (perimeter fence). CCTV cameras hazizuii mtu kuingia bali huonyesha taswira ya kinachotokea mahali zilipoelekezwa kumulika...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Polisi Mwingine wa Usalama Barabarani ampiga dereva na Kondakta

    Moja ya changamoto kubwa alizokutana nazo Mwalimu J.K. Nyerere baada ya uhuru wa Tanganyika Desemba 9, 1961 na hasa hasa baada ya uasi wa mwaka 1964 ni kutambua mchango wa majeshi katika Tanganyika huru na hasa ukizingatia kuwa Mwalimu na wenzake wengi walioshiriki kudai uhuru hawakuwa askari...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla aivunja Bodi ya Wakurugenzi ya TTB

    inpact = impact? Profession = taaluma / ujuzi / fani Professional = mwenye taaluma / ujuzi / fani Sent using Jamii Forums mobile app
  12. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Lugola atengua uteuzi wa Makamanda watatu wa kimikoa ya Polisi. Amtaka Mkuu wa usalama barabarani kujitathmini

    Alipohamia Temeke tu aliongoza kikosi cha askari wakavamia Bar ya Liquid pale maeneo ya Uhasibu majira ya usiku. Wakapiga watu (wengi wao wakiwa ni wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kama T.I.A, DUCE n.k) nguvu kubwa ilitumika ikiwa ni pamoja na mabomu ya machozi...wengi waliumia, kuporwa na...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Askari Morris Okinda aliyeko kwenye kesi ya dhahabu Mwanza, ndio yule Mwanariadha wa zamani?

    Miaka ile wao wakiwa timu ya taifa ya riadha wakifanya mazoezi uwanja wa taifa hapa Dar, sisi tulikuwa tunajaribu kuwa wakimbiaji katika mradi wa kujenga vipaji ulioanzishwa na gwiji Filbert Bayi uliojulikana kama 'Operation Bayi'. Way back! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. W

    JamiiForums Tanzania Askari Morris Okinda aliyeko kwenye kesi ya dhahabu Mwanza, ndio yule Mwanariadha wa zamani?

    Uko sahihi kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom