Recent content by WaterNet

  1. WaterNet

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Natumia fiber ya TTCL na siko mjini. Splicing mbovu ya Fiber husababisha ping mbovu. Kuna mtu alipost humu anatumia fiber ya TTCL ila ping kwenda server ya TTCL ilikuwa 60ms while mimi kwenda TTCL kwa Wi-fi ni 3-4ms kwa Ethernet 2ms
  2. WaterNet

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ya kwenye browser hainipi option ya kuchagua server. Seacom - Isando South Africa Rain - Johannesburg South Africa Liquid Intelligent - Nairobi Kenya Zuku - Nairobi Kenya Na hapo kuna watu 2 wanazurula na Reels za IG ingekuwa voda ping ungezikuta juu ya bati 300ms to 700ms. Online...
  3. WaterNet

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    To me ping za TTCL ziko vizuri kuliko za Voda. Nipeni Server niwatumie screenshot.
  4. WaterNet

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hii scenario ni rahisi kuielewa ukiwa na Kinokia cha zamani. Ila kwa ufupi tu ni hivi. message za kawaida huwa zina limit ya characters 160. Hivyo ukiandika herufi pamoja space zikizidi tu 160 hapo inahesabu kama message 2 katika message moja (multi-part message). Herufi na space zinavyozidi...
  5. WaterNet

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    TTCL wameniwekea Wavetel G3600
  6. WaterNet

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Waraka wa WaterNet kwa wana JF Mpaka sasa nishatumia mitandao mitatu. Voda, Tigo na TTCL. 1. Voda nimetumia 20Mbps kwa 115k mwaka 1, nusu mwaka wa Voda nimekuwa nikipata hudumu mbovu below 5Mbps kuna muda hata WhatsApp call haifanyi kazi. 2. Nikahamia Tigo. Nimeitumia kwa miezi 6 kifurushi cha...
  7. WaterNet

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sio unatoa ushindi mzee. Hapo umepewa elimu ndugu. 20/10Mbps ya TTCL ilifanya nikagoogle vizuri na kujua kwa nini wao wameweka hivyo. By default internationally speed ya internet inayokuwa advertised na IPS’s always ni download speed, speed ya upload inakuwa fraction of download speed. So...
  8. WaterNet

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Chukua Tigo. Laini zao zinakubali kwenye simu. Ila kianzio ndio ukuta wa chuma.
  9. WaterNet

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kwa aliechukua hii akapewa router aje atupe mrejesho kama anaweza kutumia zaidi ya 40GB kwa siku
  10. WaterNet

    Tumetoka kusali jumuiya kwa Baba ambae ni Mkatoliki na Mama ni msabato. Kiukweli kipengele cha kuangalia dini kwenye mahusiano ni cha muhimu sana

    Ujinga hauna dhehebu sawa. Ila mzee hii haikubaliki kwa wakatoliki maana ili ufunge ndoa katoliki lazima uwe umebatizwa, una komunyo ya kwanza na umepata kipaimara. Kitu ambacho wasabato wana ubatizo tu kati hivyo vyote na pia ubatizo wa wasabo hautambuliki kwa wakatoliki tofauti na madhebu...
  11. WaterNet

    Mwanaume jitahidi kujua msimamo wako kiimani na usimame nao kabla hujaingia kwenye ndoa

    Ndugu kushika yote yahitaji moyo. Maana muda mwingi wanaume tunakuwa kwenye kutafuta ukirudi unakuwa umechoka hata muda wa kusikiliza story za mkeo unakosa unaishia kulala katikati ya story zake. Kuna mwalimu mmoja wa masomo ya kiroho alizungumza kitu ambacho ni kigumu sana kwetu. Jamaaa...
  12. WaterNet

    Tumetoka kusali jumuiya kwa Baba ambae ni Mkatoliki na Mama ni msabato. Kiukweli kipengele cha kuangalia dini kwenye mahusiano ni cha muhimu sana

    Mzee hapo sio kanisa, katoliki hakuna ndoa za mseto ndio maana huwa kunakuwa na matangazo ya ndoa ambayo yanaenda parokia nyingi ili kama kuna kikwazo kimejificha kijitokeze. So Hapo ni jamaa na makubaliano waliyowekeana na mke wake. Kwa maana utaratibu wa wasabato na wakatoliki ni tofauti by...
  13. WaterNet

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Majuzi nilipita ofisini kwao wanasema wanatoa hiyo huduma. Now wana miezi kama minne sasa.
  14. WaterNet

    Tanzania Playstation Network Members (PS plus required)

    Natafuta mwalimu wa Rocket League
Back
Top Bottom