Pia msifikiri tumesahau kuwa jao mnaodai kuwa walisaini mikataba hotelini ndio 2015/walikuwa wagombea urais ws CHADEMA. Hivyo CHADEMA ilishapiteza credibility kutoka 2015
Nashukuru sana kwa kutuelimisha wote ambao tulikuwa hatufahamu namna inavyoweza kufanya kazi. Kama nimekuelewa vyema bila ya hiyo app kuwa installed katika simu inayokusudiwa kudukuliwa mtu hawezi kuingilia mawasiliano yako binafsi.
Mara kwa mara nimekuwa nikisoma post mbali mbali katika mitandao watu wakilalamikia App ya MS TANZANIA (Mobile Solutions Tanzania APPS) ambayo inapatikana kupitia PLAY STORE. Inadaiwa kuwa ukiidownload APP hii unaweza kuingilia na kupokea mawasiliano ya simu ya mtu mwingine kama vile ujumbe...
Jana katika taarifa ya habri ya ITV nilimuona Mkuu wa Wilaya ya Iringa Ndg Kasesera akiomba wadau mbali mbali kutoa misaada kwa wahanga wa mafuriko ya Pawaga, sasa ilikuwaje akate misaada ya mbunge wa jimbo husika na kumdhalilisha kama sio choko choko za kisiasa?
Usimwonee Mwanakijiji amesema waziz wazi kabisa kwa kazi iliyostahili kufanywa na wapinzani sasa inafanywa na CCM yenyewe, hii ni kutokana na upinzani uliotegemewa na watanzania walio wengi kujhifaulishia watuhumiwa wa ufisadi katika vyama vyao
Dawa ya majipu haya yote ni JPM kuirejesha kampuni za umma za NASACO kuongoza shughuli za meli hap nchini na TIPER kusafisha mafuta hapa hapa nchini katika mikakati yake ya kufufua viwanda, Mwalimu Nyerere hakuwa mjinga kuanzisha hizo kampuni za umma.
Ikumbukwe hizo fedha zinazobanwa matumizi ni mali ya wananchi wote si za viongozi wa serikali waliopewa dhamna na wananchi, katika jambo kubwa kama hili nashauri tufanye kama wenzetu wa nchi za ulaya wanavyofanya ipigwe kura ya maoni (Referandum) hao wenye mali inayobanwa waulizwe kama wanataka...
Badala ya kupoteza muda humu ulitakiwa kutoa taarifa SUMTRA CC taasisi ya walai wa huduma zinzosimamiwa na SUMATRA. Hata ukigoogle utwapata anuani zao.
H
Jodoki umenena vizuri sana. Hata enzi za mwalimu wakati ardhi haina thamani watu walikuwa wakiuza viwanja, mashamba walivyoendeleza. Hoja hapa ni suala lijjlikanalo kitaalamu kama LAND SPECULATION yaani sheria kumpa haki mtu kulipwa fidia kwa ajili ya pori alilolishika tuu. Sina tatizo na mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.