Lissu ana nafasi ya kushinda, lakini sio rahisi.
Hivi ndivyo mahakama nyingi duniani huangalia kesi kama hii:
Kwa nini anaweza kushinda:
1. Sheria ya uhaini ni ngumu kuthibitisha. Duniani kote, lazima uonyeshe mtu alikuwa na mpango wa kutumia nguvu, silaha, au jeshi kupindua Serikali. Kusema...
Mambo yanaendela vyema. Tunaendelea kusonga mbele kwa kasi kubwa. Mpunga unachanua, alizeti nayo imeota vyema. Tumepata changamoto kidogo kwenye miwa haikuota vyema kutokana na changamoto ya maji na tope jingi ( nitaweka picha) Nimejifinza kuwa sikupanda katika msimi sahihi hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.