Recent content by washonesko

  1. washonesko

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu meditation/tahajudi

    Nsiitaji kukuuliza zaidi 0717983320
  2. washonesko

    JamiiForums Tanzania Kuna nini nyuma ujenzi wa bwawa la Nyerere la kufua umeme

    Wanaomiliki gesi ni wazungu ndio wanaowauzia serikali umeme kwa bei juu unafikiri watakubali bwawa lijengwe?
  3. washonesko

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu hii nguvu ya kiroho inatoka wapi

    Hayo ni mashetani Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
  4. washonesko

    JamiiForums Tanzania Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

    Utanzani awasomi biblia
  5. washonesko

    JamiiForums Tanzania Shule ni kwa ajili ya nini kama hatufundishwi kufanikiwa?

    Maana raisi ya mafanikio ni kuwa na pesa LAKINI MAANA NZURI YA MAFANIKIO NI KUWA NA AMANI MOYONI
  6. washonesko

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Naweza kutengeneza GUIDED MISSILE!

    Mimi pia ninauwezo wa kutengeneza sugar rocket
  7. washonesko

    JamiiForums Tanzania Kuna trend inazunguka mitandaoni kuhusu mbinu za China kuitawala Afrika

    Nafikiri ni ule aliouvunja Magu
  8. washonesko

    JamiiForums Tanzania Ukiota unang’oka meno jua mtu muhimu sana kwenye familia yako atakufa

    Tafsiri ya hiyo ndoto inapatikana METHALI 25:19 Kumtumaini asiye mwaminifu wakati wa taabu ni Kama jino lililovunjika, au mguu ulioteguka. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. washonesko

    JamiiForums Tanzania The Real Hidden World

    Mchawi anaweza kuacha uchawi akimkubali YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKE NA KUYAFUATA YOTE ALIYOTUFUNDISHA SOMA MATENDO YA MITUME 19:19
  10. washonesko

    JamiiForums Tanzania Ifahamu sayari ya Mars...

    Nilisikia wanakwenda kwenye sayari ya Mars kwa njia ya kufanya ASTRAL BODY kabla ya kwenda kimwili je ayo nayo ni kweli?
  11. washonesko

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Plaster of Paris (P. O. P)?

    Unga wa P. O. P awana wana za bendeji, duka gani kuna unga wake niufuate
  12. washonesko

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Plaster of Paris (P. O. P)?

    Natafuta P. O. P powder anayejua unakopatikana anijuze na bei unauzwaje. Namba yangu 0717983320
  13. washonesko

    JamiiForums Tanzania Filamu ya wwz na mipango ya kupunguza idadi ya watu

    INAWEZEKANA UGONJWA WA EBOLA NI MAJARIBIO YA KUFANYA WATU KUWA MAZOMBI
  14. washonesko

    JamiiForums Tanzania Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Tanga lini?
Back
Top Bottom