Kwan top leader wa sasa hawakuyaona hayo unayoyasema na kama waliyaona kwann walikaa kimya pia tena walikuwa part of dola sembuse Bashiru alikuwa katibu wa chama
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Usidhani kuwa Bashiru yuko peke yake na bado mapema sana huko mbeleni mtawaona wengi tuu Lake zone mtawajuwa hamjuw subri hilo galambe lijalo
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Ongezea na mifuko ya hifadhi ya jamii, wanachama kuzuiliwa kuchukua mafao hadi afikishe MIAKA 55 how comes mwanachama ambaye ni mwajiriwa wa sekta binafsi ambaye ajira yake ni ya muda mfupi unamwambia asubri MIAKA 55? Hapo magufuli kachemka lissu nayo hiyo ni pointi mhimu kwake
Ww wa idukilo ndiyo mshamba zaidi inawezakanaje muungozwe na NCHAMBI MIAKA YOTE? na mgodi wenu umesimama hadi leo na hakuna tamko lolote? Hata barabara ya kolandoto to mhunze kiwango cha lami imeshindikana, hata zao la pamba limekufa hadi watu waligawana pamba yao kwenye maghala, shame on you...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.