Recent content by washasimu

  1. washasimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya chuo

    Mkuu kwani form one wa 2025 wakoje na wanatofauti gani na wale wa 2024
  2. washasimu

    JamiiForums Tanzania Ada ya Bacherol of Chemistry Chuo Kikuu Mwenge Moshi ni kiasi gani?

    Wakuu msaada kwa mwenye ujuzi kiasi cha ada kwa chuo kikuu cha mwenge ni kiasi gani kwa degree ya chemistry?
  3. washasimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninayetaka kumuoa ana mchepuko mwingine

    Oa huyo mkuu kudadeki zako hujui kusoma na picha huoni
  4. washasimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Fala kabisa wewe
  5. washasimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujinga wa mapenzi ulivyonitesa shule (advance level)

    Wewe upo sawa? Punguza ujuaji bob
  6. washasimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujinga wa mapenzi ulivyonitesa shule (advance level)

    Let's goooo Baada ya mimi kufauru vizuri na kuchaguliwa katika moja ya shule bora pale mkoani kwetu baba yangu alifurahi sana kwani mimi pekee katika mtaa wetu ndio nilipata daraja kubwa na kuchaguliwa katika shule hiyo nzuri so mzee aliniahidi zawadi ya kunisomeaha shule nzuri na ya gharama...
  7. washasimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujinga wa mapenzi ulivyonitesa shule (advance level)

    Soon mkuu
  8. washasimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujinga wa mapenzi ulivyonitesa shule (advance level)

    Ni me na why unasema na sound kama ke fafanua mkuu
  9. washasimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujinga wa mapenzi ulivyonitesa shule (advance level)

    Hellow Kwa majina naitwa washasimu washasimu ni mtoto wa tatu kwenye familia yetu kati ya watoto wa 5 na hii ndio historia yangu kwa ufupi MAISHA YANGU YA UTOTO Maisha yangu ya utoto kati ya miaka 7 mpaka 13 kifupi yalitawaliwa na furaha kiujumla kwa sababu nilikuwa huru sana kuchagua...
Back
Top Bottom