Kwema, freemasonry ni chama au organisation kama unavyosema hilo ni kweli, ila kinakuwaje chama na dini?
Ukweli ni kwamba Freemason sio dini ni organisation yenye malengo kutoa huduma na misaada ya kijamii, organisation kama hizo zipo kadha mfano lions club, lottery , freemasonry zina malengo...
Mnaogopa nyie ambao hamjawahi kishinda hasa siku moja ,mnakalia kudanganya wananchi wasio na hatia mara waandamane huku mkiacha familia zao zitahabike, hamna jema mnaponda flyover mnapita , msiwe wanafki.hameni Tanzania kama hampendi..tuacheni tusonge mbele kimaendeleo...
Hawaelewi mkuu unapoteza muda, mwenyr hila hata umeleze vipi, anajihisi nae ni muarabu labda au kapata bwana wa kiarabu ndo mana anaisema vibaya tz na kusifoa waarabu
Figisu gani walifanyiwa?acha kulandikizwa chuki huna unalolijua ulitaka wafanye kazi bila kuzingatia masharti ya lesen yao na sheria za usalama wa anga, kabla ya kuropoka kama hawara wao fatilia ukweli kwanza...inaonekana zako ni wifi nae, machinga class, buti la zungu huna unaloelewa
Waeleze hao mashabiki wasiojielewa....wanaotaka ndege ya elfu stini, ambayo huruhusiwi kubadili ticket, na chakula na vinywaji unanunua kama upo kwenye basi la mkoani, mzigo hata mdogo unalipia sijui haoni kama pana uhuni?nchi gani duniani ushaona ndege kuna biashara ya kichinga hivyo?ila...
Kweli hujitambuai sijawahi ona mtu anaisema vibaya familia yake, hi i we upo tanzania au uarabuni?ni mtanzania kweli?mbona huna hata elements za uchungu na nchi au kufurahia uzalendo?nyie ndo wasaliti wa maendeleo yetu.
Labda darasa la pili ,siduani kama kafika tu hata la saba , sio kializa kufika tu...kwa kili na mawazo hayo
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kwenye elimu huwa kuna makundi matatu
1.schooling by age
Huyu anaemda shule/chuo kwakuwa uri kama huo watu huwa wanakuwa na degree au diploma au ujuzi fulani.
2.schoolinh by influence
Mazingira yanakulazimisha usome kitu fulani, mfano ili ushike au uendelee kubaki kwenye wadhifa fulani au...
My,huna unalolijua...hayapungui 900 takwimu ulipata kwa shehe yahya?au kwenye vijiwe vya kahawa, Mimi ni member kwenye hizo org, lions wapo zaidi ya 1.3m, sio member tu Bali ni kiongozi nicheki private nikupe elimu tuongee kwa ushahidi na vielelezo sio reference za kihuni.namba yangu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.