Recent content by warthog gun

  1. warthog gun

    JamiiForums Tanzania Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

    We hawa inzi wa kijani kichwani kasha tupu ubongo ulishanyofolewa.
  2. warthog gun

    JamiiForums Tanzania Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

    Hiki kizee mbona kina akili mbovu sana! Kweli nimeamini ukitaka kuwa mwana ccm ni lazima akili yako timamu uiache uvae ya utaahira.
  3. warthog gun

    JamiiForums Tanzania Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Serikali ya awamu ya tano ina watawala wa hovyo haijawahi kutokea.
  4. warthog gun

    JamiiForums Tanzania Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

    Umeeleweka
  5. warthog gun

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watoa tamko kuhusu Virusi vya Corona

    Ushauri mzuri hasa hili la kutokufunga mipaka mapema watawala nimewashangaa sana.
  6. warthog gun

    JamiiForums Tanzania Hotel aliyofikia Lema jijini Dar es Salaam yazingirwa na Polisi, alikuwa aongee na Wanahabari

    Kumbe ulishiriki kumuweka? Basi usilalamike tulia tu.
  7. warthog gun

    JamiiForums Tanzania Hotel aliyofikia Lema jijini Dar es Salaam yazingirwa na Polisi, alikuwa aongee na Wanahabari

    Serikali ya awamu ya tano imelaaniwa.
  8. warthog gun

    JamiiForums Tanzania Hotel aliyofikia Lema jijini Dar es Salaam yazingirwa na Polisi, alikuwa aongee na Wanahabari

    Mi nilishasema kuwa awamu hii ya tano ina watawala wa hovyo haijawahi kutokea.
  9. warthog gun

    JamiiForums Tanzania Askari kumpiga Mbunge ni sawa na Mgonjwa kumpiga Daktari

    Tatizo ni malaika mkuu amekua mkatiri na alishabariki uovu wowote utakaofanywa na hawa mbwa wake , kumbuka alisema mbwa wake akiwa katiri ndio apandishwe cheo.
  10. warthog gun

    JamiiForums Tanzania "Tuliwapania, Mumewahi Kutoka Gerezani Kabla Hatujawatesa." Nani Aliwaagiza Hayo?

    Mshenzi tu huyo fala.
  11. warthog gun

    JamiiForums Tanzania "Tuliwapania, Mumewahi Kutoka Gerezani Kabla Hatujawatesa." Nani Aliwaagiza Hayo?

    Yaani nchi hii kwa sasa hasa awamu hii ya tano inatawaliwa na watawala wehu, wendawazimu wa hovyo haijawahi kutokea.
Back
Top Bottom