Recent content by Waridilamoyo

  1. W

    Mpiga debe wa Kichina stendi ya Ubungo

    Haya si maendeleo tunayoyahitaji Tanzania. Hatutaweza kuendelea kwa kuleta wawekezaji hadi wapiga debe! Nilitarajia mwekezaji km huyo atoe ajira kwa wazawa, mfano madereva, makondakta nk. sasa km anakuja na wapiga debe wake hao wazawa watatoa wapi ajira?
  2. W

    Dr. Hildebrand Shayo

    Kawawa ni kweli kabisa, huyo uliyemuelezea ndio Dr. Hildebrand ninayemjua mimi toka UDSM. Ni msomi, mtafiti aliyebobea, mchapa kazi, muungwana, mcheshi... Kiingereza nadhani kwa wengi ni lugha ama ya pili au ya tatu, hivyo kufanya makosa ktk lugha hiyo kwa wengi hakukwepeki.
  3. W

    Mwanamama tapeli jijini Dar es Salaam

    Mtetezi wao tafadhali weka facts zako sawa! Kwanini unaongelea uzushi? Wakili wa huyo mama uliyemtaja (Lutema) HAJAWAHI KUFIWA NA MKEWE! Sasa sijui umetoa wapi habari hii ya kizushi!!!
  4. W

    Dr. Hildebrand Shayo

    Tatizo la muanzisha mada ni lipi? Dr. Shayo ni msomi aliyebobea katika masuala ya maendeleo na Uchumi, Sijui huko UK lkn alipokuwa UD undergraduate alikuwa kipanga sana. Nafikiri watu wasilete chuki binafsi hapa na kupakazana. The guy is brilliant.
Back
Top Bottom