Nani kasema yeye ni mchezaji, afu sio tu kwenye uchezaji wa mpira yaani nazungumzia kitu chochote unachofanya ukafanikiwa jitahidi uheshimu kila mtu ukiamini mambo yanabadilika mda wote
Uwezekano wa kushuka upo(sio kwamba sasa ndio naombea ashuke) yaani hii huwa inakuja tu. Mimi nimeshuhudia mfano mmoja wa hazard najua mingine ipo mingi tu huko university siijui huku kitaa ndo usiseme walioisha ghafla
Kiufupi jamaa hakumsema vibaya lamine bali ulikuwa ni kama ushauri tu
Na ushauri wake kweli ni mzuri yani dogo kajilipua kabisa kama ni kutukana watu katukana mf. "Wewe utaniambia nini?,wewe utanitisha nini?, Unanini?" bila kufikiria mambo huwa yanabadilika ghafla. Hata kuwala wake za watu si...
jamaa nimependa uandishi na mawazo yako yani hata chizi anakuelewa
kwanza ni short and clear yani umejibu swali na madhara yake ikiwa atafanya hivyo pili ukashauri nini afanye
Tafuta hela...! uwe unaita tu daktari nyumbani kwako.
Hao wanaozaa zaa hovyo waache waendelee kuzalilika maana wanashindwa kujitofautisha na mbwa
Mtu hawezi kuwekeza kwenye kuzaa ili aje ailalamikie selikari
Kuna mikoa ya wasukuma huko ukifika Mmh...! ngoja tu niache
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.