Recent content by waq

  1. W

    JamiiForums Tanzania Sasa nchi inapumua. Mama songa mbele, kazi iendelee

    Ebo! Kumbe babako na mamako wote wana jinsia ya kiume!
  2. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

    Hii ni km Ile ya kuhamishia Ikulu kule Chattle. Tanzania tulikuwa na Ikulu 3.
  3. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutulazimisha wabunge tusiowachagua: Magufuli haogopi 'karma'?

    Moja ya post iliyonifanya nifikiri mambo mengi sana juu ya uwezo wa Mungu
  4. W

    JamiiForums Tanzania Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

    Hiiii.....!
  5. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya malalamiko ya muda mrefu, hatimaye Serikali imeanza kutoa motisha kwa Walimu wa Sayansi

    Kwa walimu wapya Tu au hata wa muda mrefu?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    Sisi watumishi huku chini tunadhulumiwa kuliko awamu nyingine yeyote
  7. W

    JamiiForums Tanzania Lijualikali: CHADEMA iliiba kura za Urais baadhi ya Majimbo 2015

    Ni kweli, kuwa na akiba ya maneno ni bora na yaweza kuchochea dhambi
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tangu lini msamaha wa Rais umeanza kuchagua Magereza na Kanda?

    Kila anapoenda kanda ya ziwa ni utekelezaji tu wa miradi mikubwa na sio ahadi za baadaye pale anapofanya ziara mikoa mingine.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Makamba, Kinana siri nje nje

    Jipange upya then upost te Umetumwa na Jw wewe si bure, Jipange upya then upost tena ujinga wako.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Spika Ndugai amsimamisha Stephen Masele uwakilishi wa Bunge la Afrika. Bunge limeteua mkaguzi kumkagua CAG

    Awamu hii ni ya-viongoz wenye mioyo ya kwa nini fulani kaniambia ukweli.., nitamkomesha
  11. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amewadhalilisha Maaskofu mbele ya Sherehe za BAKWATA

    Umeongea vizuri saaaana, Najua kwao itakua ngumu sana kumeza lakini ulichokisema ni ukweli zaid ya 100%
  12. W

    JamiiForums Tanzania Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

    Huu uzi nao mbona umeshayumba tayar
  13. W

    JamiiForums Tanzania TCRA yataka makampuni ya simu kusitisha matangazo yanayowekwa kabla ya miito ya simu

    Hawa tg kwani wanalipa kodi sh. ngapi mbona ni mtandao wa hovyo sana? Yani usumbufu na wizi wanaoufanya kwa wateja wake ni mkubwa sana tena sana. Ukinunua kifurushi hawakuoneshi ni muda gani kina expire. Lakini pia yaonesha customer care wao wana kiwango kidogo cha elimu ili wawalipe kaela kaduchu.
  14. W

    JamiiForums Tanzania TCRA yataka makampuni ya simu kusitisha matangazo yanayowekwa kabla ya miito ya simu

    Hasa hawa tg hovyo sana toka amiliki huyo Muhindi wao basi mangi kwelikweli na huduma mbovu sana, kila mara ukiweka salio wanakata @ tigo hadithi na.... sijui afya... sijui bima wezi WAKUBWA hawa kama wa makinikia tu wachunguzwe hawa. Alafu ikipotea ela kwa makosa ndio huipati kabisa na hawana...
Back
Top Bottom