Polisi hao ninawapongeza sana kwani wamewajibika vizuri, pia polisi wa Mikoa mingine waige mfano huo wa polisi wa Mkoa wa Mara, vilevile polisi tusiwe waganga wakienyeji kwa kutabiri mambo yatakayo tokea Kwenye mandamano badala yake pelekeni ulinzi. Pia polisi msidhani kuwa nyie ndio watoa...
Ndugu yangu utambuwe kuwa Kwenye kutoa maelezo polisi huwa kuna karatasi inayosema unaweza kujieleza mwenyewe au ukajieleza mbele ya wakili/mawakili wako kwahiyo mawakili kumsindikiza Hilo si kosa.
Ccm wanambinu nyingi sana kwani wamegundua CAG akipeleka ripoti yake bungeni Viongozi wengi wataumbuka, dawa ni yeye kusitaafu ili msipate pakuuliza. Inasemekana ripoti hiyo amekadhi kwa kiongozi Fulani, je huyo kiongozi ameelekezwa kuipeleka hiyo ripoti bungeni?, kazi kwetu Watanzania.
Kama kweli shibuda ni mzalendo kwa ccm, arudishe Kadi ya chadema na kuhamia chama kingine, na Kama Hilo haliwezekani basi akae kimya kwani kuendelea kutumika Kama kipaza sauti si vizuri. Mtu mzima kutumika Bungeni kuzungumzia chama chake ambacho kimempa dhamana ya kuwa pale inaonyesha kuwa...
Simiyu nakuomba uwe mzalendo wa nchi Yako kuliko kuwa mzalendo wa vazi la kijani, kwani kwa kufanya hivyo utakuwa mtetezi wa mafisadi Kila siku, wewe ujasikia Sita na watendaji wake wametofautiana kwa ajili ya pesa za Bunge la katiba.
Hawa Watu wanayoyaandika humu hawafanyi utafiti, amemuona nape na kinana wakilalamika kuhusu hotuba ya MHE: Mbowe, hajasikia polisi wakimwitaji MHE:alipoti Makao makuu ya polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi, kubwa zaidi afafanue kile kilicho azimiwa Kwenye mkutano mkuu wa chama.
Kuna mjumbe mmoja wakati anachangia kuhusu rasimu ya katiba alithibitisha kuwa walikuwa wamekaa Kwenye TV wakimsikiliza mheshimiwa MBOWE, kwa hiyo hawa watetezi wa ccm wawe wanakwenda kwa ushahidi sio Kuandika mambo ambayo wanafilia vichwani mwao. Na ukitaka kuijua siasa vizuri soma vitabu sana...
Lusungo nakuomba uwe na uvumilivu wa kisiasa, hasa mjadala Kama huu unapoletwa humu, kwani hukuwaona wabunge wanajadili hotuba ya MHE:Mbowe na hili Hali yeye akuhutubia BUnge hiyo haikutosha MHE:Wasira baada ya kutoka bungeni akaenda Mwanza Kwenye mkutano wa ccm na kutoa malalamiko yake hayo...
Ni vizuri tukajadili agenda iliyoko mbele yetu, habari ya IQ hapa yamekujaje nakuomba ujikite Kwenye mada kwani utakuwa umejijenga kimtazamo na ktk mijadala utakuwa unauwezo mzuri.
Ccm na SERIKALI yake imeanza kulalama Kila kona badala ya kushughulika na maswala ya MSINGI ya nchi, wabunge badala waendelee kuchakachua Rasimu ya katiba, maneno ya m/kiti Mbowe kupitia mkutano mkuu yamewabadiliSha mawazo.
Mwelewa yeyote anajua mandamano si vurugu bali ni kuonyesha hisia zako ulizonazo kuhusu jambo Fulani kwa hiyo si bangi wala kilevi chochote, wana ccm wakumbuke huwa wanaandamana bila Watu wengine kuwabeza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.