Recent content by wannabe

  1. wannabe

    JamiiForums Tanzania Telegram Launches Video Calls on Android and iOS

    Telegram has many special features: -Better encryption than Whatsapp -Group members up to 200k -File size 1.5GB -Secure channels Etc In my opinion if the telegram hit the market first, than whatsapp would be on the tail.
  2. wannabe

    JamiiForums Tanzania Je, unatengeza App au website ambayo itahitaji kutuma api sms/ bulk sms / schedule sms/ manage contacts?

    Speaking for myself as a developer, ayo maelezo yanaeleweka labda kilicho miss ni link tu ya iyo website yenu Bongo Live | Bulk SMS and Mobile Solutions Provider In Tanzania | Africa
  3. wannabe

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Correctmundo!
  4. wannabe

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    And 7 years later here we are BTC is valued around $9212
  5. wannabe

    JamiiForums Tanzania WIRE TRANSFER

    Thanks for reply, nita contact nao
  6. wannabe

    JamiiForums Tanzania WIRE TRANSFER

    Ni bank gani apa Tz itoniwezesha kutuma pesa direct kutoka kwenye account yangu kwenda kwenye account ya mtu mwengne nje ya Tanzania?
  7. wannabe

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    ili iweje? hii nchi inapoelekea bas tu
  8. wannabe

    JamiiForums Tanzania Award Verification Number(AVN) Application 2018

    Nimeelewa mkuu ntafanya ivo
  9. wannabe

    JamiiForums Tanzania Award Verification Number(AVN) Application 2018

    Kwa wale ambao wamehitumu diploma mwaka 2018 ningependa tujuzane wamefikia wapi katika kuomba AVN binafi nimehitimu mwaka huu ila ktk kufnya application iyo ya AVN nikifika katika hatua ya kuchagua mwaka nilohitimu nakuta mwisho ni 2017..je hii inamaanisha nini?
  10. wannabe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kioo pamoja na touch yake samsung S3

    Nimeshaona nikanunue mpya tu
  11. wannabe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kioo pamoja na touch yake samsung S3

    Mkuu kwa bei zake nimesha surrender bora nikatafute mpya tu
  12. wannabe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kioo pamoja na touch yake samsung S3

    Duh! Bora niisamehe tu
  13. wannabe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kioo pamoja na touch yake samsung S3

    Husika na mada apo juu kma unacho ni check pm
Back
Top Bottom