Recent content by wanna

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mpenziwangu hataki tufanye romance

    huyo mpnz wako kiboko hata wakurya hawako hvo...
  2. W

    JamiiForums Tanzania kinehe badugu ne ligesha lyachile?

    mle mhola bayanda na banhamhala kinehe mle sele gete?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni vita...?

    ndoa si vita ndoa ni wito...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Wazo la leo wakuu!!!

    kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri boti uanja wa ndege
  5. W

    JamiiForums Tanzania sifa za baadhi ya mikoa ya TANZANIA

    we utakua ndg yake mpoki, mbona hujataja mkoa wako?
  6. W

    JamiiForums Tanzania kila mtu kwa kabila lake!!!

    kinehe bagosha na bakima mle mhola hene...
  7. W

    JamiiForums Tanzania km hujui kichina usiingie huu uzi..........

    aaaaah! kumbe ni mambo ya kufeli kwa wanafunzi...! duh! kweli ni aibu kwa taifa mkuu na sio ww tu iliokugusa hata mimi pia...
  8. W

    JamiiForums Tanzania rahisi akihojiwa na waandisha wa habari

    mbona hajakosoa neno ZE COMEDI na kusema THE COMED?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mimi yule naenda kazini

    oya mbavu zinauma......
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kupanua na kutanua

    duh! kiswahili kipana sana aisee...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kupanua na kutanua

    kupanua ni kumuweka mtu mguu pande huku akiwa chali na kutanua ni ku overtake gari yaani kupita service road...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Inbox sms za madem kwenye cm:

    hujakosea mkuu,nimeipenda....!
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wanaoishi Masaki Vs Manzese, Mbagala n.k

    halafu swt maharage yanaishilia
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kinehe a bhanu mulimo umu?

    bebe nang'ho, zunyaga shi... nulu nize ahang'wing'we?
  15. W

    JamiiForums Tanzania kinyozi kakosea?

    kinyozi alihamisha ofisi kutoka ghorofani na kuja chini akaweka tangazo; kinyozi aliekua ananyoa juu sasa ananyoa chini, mara wateja wakamkimbia, sasa kosa lake nini?
Back
Top Bottom