Hahahahaa....nilidhani hujuwi mtu akiwa na hasira yukoje! u could have started with Slaa, who was wearing a fixed smile and a fake laughter while burning inside. Huyo ndio alitoka mapovu
Hakuna asiyejua ufisadi umeasisiwa wapi!Taifa limepiga kelele serikali na chama husika kuchukua hatua dhidi ya ufisadi hadi leo hakuna hatua dhidi ya ufisadi wa EPA, Richmond, ESCROW na mauzauza mengine na wahusika wote wapo madarakani hadi leo na wengine wanautaka urais wakiwa kwenye serikiali...
Naomba radhi post hii imejirudia mara 3 nilipo-submit ilikuwa inaniambia "page not found" hivyo nikawa narudia ku-submit. Mods mnaweza ku-delete nyingine ikabaki moja. samahani kwa usumbufu!
Nimefuatilia kwa makini matatizo ya wanafunzi wa Lutheran Junior Seminary na Mzumbe sekondari zote za Morogoro, nimebaini kuwa wanafunzi wana hoja. Migogoro hiyo imetokea kwa vipindi tofauti. Walianza wanafunzi wa Mzumbe Sekondari na madai yao ya miaka zaidi ya 7 bila kusikilizwa. Madai yao...
Tusijaribu kutatua tatizo bila kuangalia kiini cha tatizo! vurugu za Mtwara hazina siasa. kwa suala la gesi watu wa Mtwara kwa taarifa yako waliungana bila kujali itikadi za vyama. Nashangaa hata viongozi wanajitia upofu kwa kuweka cover eti kuna mkono wa wanasiasa nyuma. Mbona mawazo yenu...
Pamoja na kwamba mimi binafsi sijaiona hiyo rasimu a Katiba mpya, kama alivyowasilisha mleta mada, nimevutiwa na mapendekezo ya kuwa na:
1. Baraza dogo la mawaziri wasiozidi 15 na wasitokane na Wabunge, sawa kabisa!
2. Spika na Naibu Spika wasitokane na Wabunge na wasitokane na vyama vya...
Umenena! huyu Mulinda asituchangenye akili na wala asijitetee. kati ya waandishi wa habari ambaye sijawahi kuwa na imani naye ni charles Mulinda. Kwa jinsi hata magazeti yanavyompa uhariri huwa najiuliza mara mbili mbili kuwa ni kweli watu na hekima zao wanampa huyu jamaa mbabaishaji nafasi...
It's so sad!!! Dr. Ferdinand Masau passed away today at 18hrs at Aga Khan hospital. Alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu, lkn afya yake ilianza kuzorota baada ya kitendo cha kikatili cha kufungiwa hospitali yake na kutokuruhusiwa kuingia kuchukua hata handkarchief aliyoiacha mezani alipotoka usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.