Recent content by wanguwangu

  1. W

    TAZARA mchezo wazuka

    Driver wa Daladala anasimama kwenye mataa ya TAZARA huku akinywa maji na kutupa chini chupa ya maji. Mara anajitokeza Mwana-Mazingira anaenda kwa dereva yule na kuchomoa funguo wa gari. Daladala imebaki kati ya barabara na ufunguo anakimbia nao huyo Mwanamazigira. Sote tulio nyuma ya Daladala...
  2. W

    BARUA YA WAZI KWA WIZARA YA ELIMU (Kamishena wa Elimu)

    KWA KAMISHENA WA ELIMU WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI, MAKAO MAKUU DAR-ES-SALAAM. Yah: WARAKA WA ELIMU NAMBA 5 WA MWAKA 2012 KUHUSU MAREKABISHO YA MIHULA YA SHULE ZA SEKONDARI NA VYUO VYA WALIMU. Rejea Waraka mpya wa Elimu namba 5 wa Mwaka 2012 kuhusu marekabisho ya mihula ya shule...
  3. W

    Mihula ya high school kubadilika tz.

    MIHULA YA HIGH SCHOOL KUBADILIKA TZ. Wanafunzi ambao wapo Form VI sasa imekubalika kufanya mitihani February(next month) badala ya May 2013) well and good. Wanafunzi walio Form V sasa eti kuja kufanya mitihani May 2014! Ivi kweli wanafunzi wakikaa bila kusoma kwa muda wa miezi mitatu...
  4. W

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Magari ni chanzo kizuri cha mapato ya serikali. Kwanza kodi ya Road licensi ni kubwa lakini tunalipa. Mafuta yanakodi kubwa lakini inalipwa kila lita ya mafuta. Kunahaja ya kuongeza mapata kutumia chanzo hiki- Faini ya uendeshaji mbovu na kukiuka taratibu za barabarani. Wote wana "overtake"...
Back
Top Bottom