Recent content by Wandeka

  1. Wandeka

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    *PONGEZI* Kabla ya yote napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisaa kwa wanafamilia woote humu ndani,. 2_ Mimi ni mgeni humu ndani ninakama mwezi1 na cku kazaa tu lakini nimejifunza vitu vingi Sana kuhusu betting. 3_ Mimi jinsia yangu ni ( KE ) nimeamua kuchagua kutafita pesa kwanjia ya...
  2. Wandeka

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naombeni msaada jamani kujiregest Premier bet najaribu wananigomea msaada jamani jinsi ya kufanikisha usajili
  3. Wandeka

    JamiiForums Tanzania Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

    Eti yule chalii idris alisema kumuacha wema kulimghalimu alibadilisha wanawake zaidi ya 30 ndani ya miezi 2 ili asahau Wema .nyie mapenzi haya yaacheni tu kama hayaja kukuta usimnyooshe mwezio kidole.
  4. Wandeka

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naombeni msaada jamani Option ya 28+ Meridian ,nimeitafuta sijaiyona naipate?
  5. Wandeka

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
  6. Wandeka

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yani ww mshaki unataka baadae uje useme niliwatumia upepo muufate ,wakati mkeka ukishinda unapiga picha vizuri tu na tiki xinaonekana...acha roho ya korosha Jombaa ,ni bora usinge utuma tu
  7. Wandeka

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu ujue wezako tuna Arosto ,asama mm tangia mwaka Jana mwezi wa 10 cjamla kaji napigwa tu hadi naogopa najihisi na gundu.....acha nitembelee nyota yako hii [emoji120]
  8. Wandeka

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tuweke sh ngapi? Maana ww umetia Elfu 55000/=
  9. Wandeka

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Mwenyekiti wa UVCCM taifa anavyovuna wanachama vyuo vikuu!

    Tunapoelekea hadi ukitaka kwenda kunya tutaambiwa tuoneshe kadi ya CCM .Kila lenye mwanzo lina meisho wake ,tuombe uzima tu tuje kuviona hivyo viwanda100 kila mkoa[emoji125][emoji125]
  10. Wandeka

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duuh!PSG
  11. Wandeka

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Mbagala kuu Primary School,DSM
Back
Top Bottom