Recent content by Wandani tv

  1. Wandani tv

    ATUKUONI TENA,,,RUGE MUTAHABA

    ILIYO TUFIKIA MEZANI; muasisi,mkurugenzi,meneja,vipindi kutoka clouds media group ruge mutahaba amefariki dunia Leo,, jina labwana lihimidie kilanafsi itaonja umauti,
  2. Wandani tv

    Bien Frema; Nitaipeperusha bendera ya nchi yangu

    Tukiangazia upande wa Burundi, msanii wa music wa buja flavour nchini burundi_bien frema amefunguka katika mike za Wandani tv baada ya kuachia kibao chake ivi karibuni kilicho mtambulisha vyema kwamashabiki na kumuongezea mashabiki,,niko naamini music hauko na mwenyewe juu alikuako soso k...
  3. Wandani tv

    Gabo: Mimi najituma ila kuna watu hawaoni nikijituma

    Sikumbili zimepita toka ushindani mkubwa wa kugombania vijiko (tuzo)vyenye heshima kubwa kutoka AZAM TV, msanii Gabo Zigamba kajitokeza na kutoa shukurani kwa Watanzania, walio muombea usiku kucha na kumpigia kura kwa wingi ili aendeleze kushikilia nafisi ya kuwatetea watanzania kwa kutengeneza...
  4. Wandani tv

    Kundi la Livingstone hatarini kufungiwa

    Kikundi cha sanaa ya maigizo cha living stone Kinachoundwa na wasanii wa ujiji,kibirizi,na katonga, mkoani kigoma kipo hatiani kufungiwa, kutokana na Mkuu wa kundi hilo ramadhani abduli,(JB)kutoliendesha kwa kanuni na tarabu zinazo tolewa na basata, msemaji wa kikundi hicho bwana, rajabu...
  5. Wandani tv

    Kathbert: Gospel yanipa utajiri

    Msanii wa gospel nchini kathbert mwindi kaliambia jarida la Wandani tv kuwa toka aokoke ameanza kuona mabadiliko ya kiroho na maisha pia,, nimeamua kumtumikia yesu kutoka moyoni, sasa nakesho kunabaadhi ya wasanii wa music wa kidunia nawashanga sana kuto niamini,najuafika itawauwia ugum...
  6. Wandani tv

    U.V.SATA YAMPONZA SEBA

    Gwiji wa flm za kibongo dollar losa yemba maarufu kama lossa yemba amesema tefute ndiyo flm iliyompa umaarufu akiwa kigoma sasa nizam ya daressama kumpokea kwa kishindo na kuzipokea kazizake zinazo toka ivi karibuni alizo washirikisha mastar, ayati king majuto,muhogo mchungu, rose ndauka, grace...
  7. Wandani tv

    U.V.SATA YAMPONZA SEBA

    Msanii wa kizazi kipya seba tommy kutoka mkoan tabora kakilalamikia chama cha wasanii wa mkoa huwo u.v.sata kuwa hakija mtendea haki katika kuifungia nyimbo take ya mboka icon, sijaona kigezo cha u.v.sata kuifungia nyimboyangu sababu moja sijajiunga na chama hicho pili napofanya nyimbo huwa...
Back
Top Bottom