Ni sehemu ilishawai fanywa tafiti na kampuni xxxx siwezi itaja ndio tunainyonya kutoka kwa iyo kampuni wana report whole village ikiwemo na site yetu ilipo. Coz n leseni ambayo imezungukwa na PL za graphit za iyo kampuni, hivyo katika kufatilia utaratibu ndipo tukaambiwa eneo liko na report...
Uko sahihi,lakin kama uko katika hii industry nadhani unajua gharama za kuipata iyo geology report so kitu rahisi kwa mitaji yetu ya kuunga unga ni sawa au zaidi ya pesa unayoitafuta katika haraka zetu izi.
Alafu mbona wachina ni watu ambao hawana sana mambo ya report wanahitaji wafike site...
MAGUFU alikua rais bora kuwai kutokea na sijua km atakuja kutokea , hayo yote anayosemwa kua ni mabaya na wanaomsema kwa ubaya ndio ambao walikuwa wapiga deal na hawana chochote zaidi ya kupigia kelele matumbo yao,ila km mtu ulikua umenyooka una makandokando yule mwamba alikua mwamba yani km...
Kwahiyo hukumpenda magufuli km "mtu" kwa tabia zake zipi ? Alafu apigiwe mfano na maziri gani ,coz mazuri yote na yametokana na tabia zake personal ambozo ulikua hauzipend, Ebu nyooka mzee ueleweke, km moto sema moto ,km baridi sema baridi mambo ya vuguvugu atutaki,
Achana na uo uzee,pambania kubunda tu ujana unakuja automatic ,ukipiga passport tena mwenyewe itafurahi,umaskini ni m'baya sana mwili wako mwenyewe unakugeuka
Inabidi awe mzee mwenye pesa sasa ndio izo baraka na matunda unayo yasema ata yaona ,vinginevo ataesabiwa kua ni mjinga fulan tu alozeeka 😃😃 tena anaweza akatuhimiwa na uchawi kabisa,
RIPOTI FUPI YA UHITAJI WA UWEKEZAJI AU MNUNUZI WA MGODI WA DHAHABU
Historia:
mgodi una leseni PMLs na ziko tatu zilizo ungana pamoja
Mgodi ulianza rasmi shughuli za uchimbaji mwaka 2019. Ni mgodi mpya ambao bado haujafikia uchimbaji wa kina, kwani uchimbaji upo kwenye miamba laini karibu na...
Habari zenu wana JamiiForums na wadau wa madini kwa ujumla,
Naomba kufahamu ukweli kuhusu bei ya amethyst kwa hapa kwetu Tanzania (soko la ndani) kwa zile zilizo safi ,rangi omekolea na ukubwa kuanzia 3g nakuendelea ,kilo inakua bei gani?
Na je ukizalisha soko lipo la uhakika au adi upate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.