Barua ya wazi kwa mheshimiwa waziri wa elimu, sayansi, teknolojia na ufundi
YAH: HALI YA HATARI INAYOWAKABILI WANAFUNZI WATANZANIA WA
SHAHADA YA UZAMILI NCHINI ALGERIA
Tafadhali rejea kichwa cha barua hapo juu. Wanafunzi wa kitanzania wa shahada ya
uzamili nchini Algeria tunakabiliwa na hali...
Tulilazimika kuendelea na masters kutakana na mabadiliko ya mfumo wa elimu ambao ulimgusa kila mwanafunzi wa elimu ya juu nchini Algeria. Tumetuma matokeo yetu tangu mwishoni mwa mwezi wa kumi mwaka jana. Tunaomba ifahamike kwamba tuliwapatia wizara taarifa na wakasema watalishughulikia. Kingine...
Barua ya wazi kwa mheshimiwa waziri, wizara ya elimu, sayansi, ufundi na teknolojia
YAH: UPOTOSHWAJI WA TAARIFA KUHUSU WANAFUNZI WATANZANIA WA SHAHADA YA UZAMILI NCHINI ALGERIA
Tafadhali rejea kichwa cha barua hapo juu. Sisi wanafunzi watanzania wa shahada ya uzamili nchini Algeria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.