Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) leo tarehe 13 Oktoba limenyakua Tuzo ya Jumla (Overall Winner) kwa upande wa sekta ya umma kwenye Maonesho ya Madini yanayofikia tamati leo mkoani Geita.
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgeni Rasmi kwenye...
Akili zetu zimefungwa kiasi cha kuwaona hawa wanaoitwa wasanii ni vigizo vyetu vya maisha,media kama JF yenye hadhi kubwa katika jamii nayo inapost hii habari kama habari kwa kutoa uzito wa juu kwa aliyekamatwa na sio madawa ya kulevya.Huyo kijana kwa wale watu walifungwa akili zao ni kiigizo...
"Mkiyaacha mafundisho yangu mtadhalilika hapa duniani na siku ya hukumu mtapata adhabu kali"Maneno matakatifu kutoka katika kitabu anachoamini Sitti...Pamoja na kutembezwa uchi bado anaendelea kudhalilika katika jamii.Baba,mama sio maskini useme anafanya hiyo kazi kujikimu maisha yake....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.