Wajuzi wa magari naomba munijuze nataka kununua gari aina ya x tray je matatizo yake ni yapi? Hasa katika engine je inaweza kwenda mbali katika mlilma kama kwenda Mbeya kutoka Dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Nivizuri tujiongeze corona ndiyo inaongezeka hizi bar na kumbi nyingine za starehe bado zina mikusnyiko mikubwa ni bora ikatafutwa njia mubadara ya kupunguza mikusanyiko hii watu wanunue wakanywee nyumbani na starehe nyingine zisitishwe hii corona ni hatari sana inasambaa kwa haraka sana .ni...
Ingefaa tuangalie upya hizi sehemu za starehe na mikusanyiko yake na zisije kuwa chanzo cha kusambaza maambukizi ya corona huu ugongwa naona tunausikia tu kwa wenzetu ni msiba tuombe lisitukute
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.