Kumbi za starehe kuwa na wanawake wengi kuliko wanaume

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
Habari za sikukuu.

Nimekuwa nikisafiri mara kwa mara katika mikoa mbalimbali hapa tanzania. Katika safari zangu huwa siondoki bila kutembelea kumbi za starehe.

Katika observation niliyoona hivi sasa, wanawake wanakuwa wengi kuliko wanaume. Na hii hali imenishangaza sana jana Dodoma baada ya kutembelea pubs na night clubs kama 3 na kukuta wanawake ni wengi sana zaid ya 70%.

Hii ni tofaut na miaka 3 nyuma. Wanawake walikuwa wanakuwa wachache sana kumbi za starehe.
 
Kwani Population ratio ikoje kwa Tanzania Mkuu, jambo la kawaida siku zote hakuna jipya hapo labda wewe ndiye mgeni wa hizo mambo
 
Hivi kila siku mnaposema wanawake ni wengi kuliko wanaume huwa mnamaanisha nini? Au umesahau?

Halafu tulieni, mmeambiwa mikusanyiko isiyo ya lazima muache.
 
Wanaume wameshaambiwa stay at home, hao wanawake wanaojazana huko ni wadangaji wanaotegemea labda atabahatisha danga
 
Back
Top Bottom