Recent content by wamitulinga

  1. W

    JamiiForums Tanzania NSSF wameita for interview

    uliingiaje wenzio ishindikane............................?
  2. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inataka kwenda Ikulu kufanya nini?

    je unafuatilia kwa karibu matendo yanayoendelea ndani ya chadema au mapenzi na kile chama ndo yanakufanya ulopoke, je umefuatilia mapato na matumizi yao jinsi yanavyokwenda, kweli ccm ni wezi lkn chadema ndo hawafai kabisa, we angalia hata wanavyoongea hao wabunge wao ni jazba na chuki bt hakuna...
  3. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, tunataka kujua fedha zetu za ruzuku zinavyotumika

    inamaana CHADEMA si watu wa kuulizwa kitu jamani, mbona tunatishana kama hv itakuwaje tukishawakabizi madaraka, tutakuwa na nguvu ya kuwahoji kweli, mi mwenyewe ni mpenzi wa CHADEMA lkn sio kipofu kama wewe, inaonekana hata mkeo au mumeo huwezi kumuuliza kitu kisa unampenda sana, tuache mambo ya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, tunataka kujua fedha zetu za ruzuku zinavyotumika

    upuzi upi?, wa kuuliza?, acha mapenzi ya upofu wewe
  5. W

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli Kikwete ni chaguo la Mungu

    kwani ili awe chaguo la Mungu inabidi awe na sifa gani ambazo pengine huyo hana, maana imepita muda kidogo tangu kauli hiyo itoke, kwa maana hiyo umeifanyia kazi kwa kipindi chote na ukabaini kuwa amekosea kutoa kauli hiyo, sasa ni zipi sifa za chaguo la Mungu uzijuazo wewe?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Islamic Banking - NBC yawatoa hofu wananchi kuhusu akaunti ya Kiislamu

    ulishawahi kumuona jini akiswali msikitini kwa macho yako? binafsi sijawahi kuona, hata hivyo uislam si dini ya shetani wala mapepo ni Dini ya ALLAH sw aliyetakasika ambae ameiridhia, Mungu ambae amekuumba wewe leo unaleta nyodo na kashfa dhidi ya Mungu wako, but subir tu hivi punde utajjua...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Islamic Banking - NBC yawatoa hofu wananchi kuhusu akaunti ya Kiislamu

    hata ukitumia akili ya kibinadamu tu utaona kiwango cha chuki ulichonacho jinsi kinavyokupeleka pabaya, ulishawahi kuona jini anaenda kudeposit pesa kwny tawi lolote la NBC? jibu
  8. W

    JamiiForums Tanzania Islamic Banking - NBC yawatoa hofu wananchi kuhusu akaunti ya Kiislamu

    kabla ya kunyambua aya 4:89 na 9:5, nisaidie nijue juu ya sheria ya kuuwa inayotumiwa na mahakama katika nchi nyingi duniani, kwa nini wanauliwa?
Back
Top Bottom