Recent content by Waminyato

  1. Waminyato

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

    [emoji867]hizi ni dharau sasa.
  2. Waminyato

    JamiiForums Tanzania Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

    Wanapoza upepo wa zengwe.
  3. Waminyato

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mi umeniona lakini,au nijitupie hapa unione wadada wanavyoshindwa kula kwakunizimikia.
  4. Waminyato

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mbape ana uso wa wa soli yule, Mbape si bora kwa Onyango.
  5. Waminyato

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Austra lazima akae hii game.
  6. Waminyato

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    hapa sasa ndo patamu.
  7. Waminyato

    JamiiForums Tanzania Rais anavyotembea na walinzi waliobeba mitutu anaonesha nini wananchi?

    ukileta mada kuwa specific ili watu wachangie kwa usahihi.
  8. Waminyato

    JamiiForums Tanzania Rais anavyotembea na walinzi waliobeba mitutu anaonesha nini wananchi?

    nimshaelewa.kwa cord ulizoficha ni kutisha watu.
  9. Waminyato

    JamiiForums Tanzania Rais anavyotembea na walinzi waliobeba mitutu anaonesha nini wananchi?

    ipo iyo video.na kuna uzi humu kuna jamaa liuweka kujadili hilo.
  10. Waminyato

    JamiiForums Tanzania Wamekata tena umeme, hawa watu bwana!

    Dr.Kakurwa kakataza kusema mama anaupiga mwingi.
  11. Waminyato

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza upungufu wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa kutokana na Ukame

    hata ikinyesha mvua ya Nuhu bado mgao utakuwepo.kabla ya ukame kulikua na mgao ,Makambare akasema huo mgao ni kwasababu wanafanya maintenensi kubwa mgao utakuwepo.
  12. Waminyato

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo kuondoka Manchester United mara moja kwa makubaliano ya pande mbili

    Anaenda timu ipi tena kuwapa gundu?
  13. Waminyato

    JamiiForums Tanzania Rais anavyotembea na walinzi waliobeba mitutu anaonesha nini wananchi?

    Kila nchi inataratibu zake za ulnzi kulingana watakavyoona wao na taratibu zao.
  14. Waminyato

    JamiiForums Tanzania Rais anavyotembea na walinzi waliobeba mitutu anaonesha nini wananchi?

    Niambie wewe ni nchi zipi Duniani zilizoendelea Rais akakosa ulinzi madhubuti? ntajie nchi isiyo na wajinga,maradhi na umasikini alafu Rais alindwi?
Back
Top Bottom