Recent content by Waminepo

  1. Waminepo

    JamiiForums Tanzania UTU: Ubalozi wa Marekani wasaidia ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye shule za Iringa na Morogoro

    Wanafunzi wajisaidie haja zao kwa raha!😄
  2. Waminepo

    JamiiForums Tanzania UTU: Ubalozi wa Marekani wasaidia ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye shule za Iringa na Morogoro

    Amina ! Mabeberu oyeee !😁
  3. Waminepo

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halotel na wenzake 5, wahukumiwa kulipa faini ya milioni 24 au kwenda jela mwaka mmoja. Halotel yalipa Bil 30

    Kweli kabisa! Na atakwenda peponi kwa kutakatisha pesa na kuirudisha kwa wamiliki halali yaani sisi wananchi ! Mitaano tenaaa! Nasema uongo ndugu zangu ???
  4. Waminepo

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halotel na wenzake 5, wahukumiwa kulipa faini ya milioni 24 au kwenda jela mwaka mmoja. Halotel yalipa Bil 30

    Ndio waelewe nchi hii kwa sasa sio shamba la bibi tena ! Watanyooka tuu!
  5. Waminepo

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Hutavuka mpaka wa Tanzania bila kupata chanjo ya COVID-19

    Na watakao sumbuka zaidi ni hao walio tengeneza hilo gonjwa maana pale UK limesha badilika hivyo hiyo kinga inaweza isifae tena ! Waanze upyaaaaa ! Jini wamelifungulia toka kwenye chupa kulirudisha ipo kazi!
  6. Waminepo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa zamani, Dkt. Pius Yasebasi Ng'wandu afariki dunia

    The late old man really wasn't in his right sence or he was ill advised to marry such a beauty queen ! Yaani kweli kabisa kwa umri wake akaopoe kile kipusa 😳 ni kujitafutia umauti tuu !
  7. Waminepo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa zamani, Dkt. Pius Yasebasi Ng'wandu afariki dunia

    RIP jamani ! 😢 Inawezekana alifungua simu ya mkewe mpya akashindwa himili maudhui aliyoyaona ! Very sad
  8. Waminepo

    JamiiForums Tanzania China kuisaidia Tanzania ujenzi wa SGR na mradi wa umeme Mto Rufiji

    Kabisa ! Yaani ikibidi ni mwendo wa hela za bandia kwa cheni feki! Hilo JPM yuko makini sana!!! Wachina wajipange, hakuna cha kuvishana mikenge hapa.
  9. Waminepo

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

    Thubutu yake ! Anaubavu huo ? Atulie tuu alelewe.
  10. Waminepo

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: ACT-Wazalendo ipo na itaendelea kuwepo, ACT is here to stay!

    Hee! 😳 Maalim ndo katenda hivyo ?
  11. Waminepo

    JamiiForums Tanzania Hamis Kigwangwala akabidhi ofisi kwa Waziri Mpya

    Mkimbizi uchwara 🙃
  12. Waminepo

    JamiiForums Tanzania Wazo Fyatu: Tulizoea kushangilia "Mtu Kaula"

    Watanzania
  13. Waminepo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hakujua kuwa wazungu kwa sasa hawaweki ''mayai yote'' katika kapu moja!

    Ndio mchezo wa international politics!
Back
Top Bottom