Recent content by WAMEA

  1. W

    Ratiba ya ziara ya ACT Wazalendo, ziara ya kufyeka msitu

    Acha donge bwana Mdogo! Mbona tanga, mtwara, lindi, mbeya, kilimanjaro, rukwa, katavi, simiyu, geita, mara, rukwa, pwani na mikoa mingine huulizi. Mbona unaigopa ACT kiasi hicho? Huu ni wakati wa ACT na Chadema tena. Ulikuwepo wakati wa NCCR mageuzi, ukaja wakati wa TLP, ukafuata wakati wa...
  2. W

    Ratiba ya ziara ya ACT Wazalendo, ziara ya kufyeka msitu

    Acha wivu wewe. Pumbu...vu!
  3. W

    Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

    Ama kweli nyani haoni kundule. Wewe Baregu ndo mzigo. Professor mzima utakubalije kutumiwa vibaya na kijana mcheza disco? Siyo tu mcheza disco bali pia kijana mwenye eimu ya kidato cha sita mwenye ufaulu wa sifuri? We ndo mzigo siyo zitto
  4. W

    Uhamisho kwa walimu walio omba kuhama dec.2014

    Naomba uniamini Mkasulu kwa maana mimi si mtu wa hovyo wala Mkurupukaji kama Slaa. Kwamba, vibali tayari vimetoka. Niliomba kuhama na kwamba nimepigiwa simu na ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri yangu leo. Nimeambiwa niende ijumaa nikachukue kibali changu.
  5. W

    Vibali vya ushamisho TAMISEMI

    Msingida Vibali tayari vimetoka. Wanaanza kutuma kwanza kwenye halmashauri kisha baadaye wanaweka majina Mtandaoni. Mi mwenyewe niliomba na nimepigiwa simu na Mfanyakazi wa halmashauri kwa Mkurugenzi kwamba, niende Ijumaa kuchukua kibali.
  6. W

    Zitto Kabwe apewa tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii

    Basi tazama! ni nani kama Zitto? kwa maana babu Slaa hawezi kupata tuzo kama hizi.
  7. W

    Tundu Lissu kuundiwa Zengwe ili afukuzwe uanachama ndani ya CHADEMA

    Mbona chama kinajifia kirahisi sana? kwa maana sasa wale majasusi wa CCM at work.
  8. W

    Kutoka Zitto Z. Kabwe hadi John M. Shibuda

    Mbona mwalia sana kuhusu Zitto Kabwe?
  9. W

    What is the meaning of PMTC1?

    PMTCT1 ni negative. PMTCT2 ni positive, PMTCT3 matokeo hayana uhakika na kwamba ukiona PMTCT ujue amesahau kurekodi au hana ujuzi wa kutofautisha maana ya namba hizo na hivyo anajiepusha na utata utakaotokea
  10. W

    Ufafanuzi wa jinsi ya kusoma kifaa cha kupima HIV.

    Msaada tafashali kwa wajuao hili
Back
Top Bottom